Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umesema ukweli wa ulichoona mkuu, mimi ninapishana nazo sana. Sijui niache kazi niwe nashinda humu tuu..[emoji3][emoji3]
Mkuu utakufa njaa
Chapa kazi sanaaaaa alafu ukipumzika njoo uoshe macho selfike

Ni ukweli mtupu chief nimeshuhudia live bila chenga wala kupepesa macho ndugu mjumbe kajaaliwa
 
Back
Top Bottom