Kwani na wewe unataka kusema picha ni tofauti na ulivyo?
Umeona eeehhh!!!! Huo Ndio ukweli
Umeona eeehhh!!!! Huo Ndio ukweli
Ananifunfisha huyu Brian Spilner😂😂Umeanza lini upambe mjep???
Hongera kama ulipiga Banda la Geography, hili somo huonekana ni rahisi but huja na matokeo ya kushangaza sana.Niliwahi piga banda La Geog NECTA miaka hiyo [emoji41]
Hebu nione kama bado nakumbuka sasa hivi [emoji1787]
1. Close up Oblique Photography( probably taken from the roof top of a low level building )
2. Since its cloudy, could be Noon or Afternoon hiven the color of the clouds.
3. economic activities 1. Trading/Corporate / Banking ( The blue tower) must be a lot of companies there. 2. Real Estate activities 3. Service ( Education , Hospitality etc 4. The market (a lot of business there) from wakala to mitumba etc[emoji41]
Imagine kuna hii kitu[emoji1787] Biashara za kimataifa kabisa zinafanyika hapa [emoji41]
View attachment 2131477
Umesema ukweli wa ulichoona mkuu, mimi ninapishana nazo sana. Sijui niache kazi niwe nashinda humu tuu..[emoji3][emoji3]Ananifunfisha huyu Brian Spilner
lol Brian Spilner dizain yuko kimya sana humu....Ananifunfisha huyu Brian Spilner
Hahahaha...........inaonekana biashara ya Sanaa si haba inalipa 😂Hatari mkuu, anampunga sana
Hili ni bus gani??linaonekana ni lizur
Umesema ukweli wa ulichoona mkuu, mimi ninapishana nazo sana. Sijui niache kazi niwe nashinda humu tuu..[emoji3][emoji3]
Hi mahondawlol Brian Spilner dizain yuko kimya sana humu....
Hellow Brian.[emoji1672]
Utawasimulia kina Valentina na cocastic
Tanteeeeeeeh [emoji7][emoji7][emoji7]Ngoja nikubarikk na selfii kwanza usitoke
Sasa si kazi na dawa bestii..Weeeehhh Kazi kwanza jf badae!!!
Nakudai ujue braiSasa si kazi na dawa bestii..
Mimi nazikosa sana dawa zako [emoji3][emoji3]
Yani wewe ndo umekua mzushi plus plusNakudai ujue brai
Wee nipo mwenyew hapa hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitamsimulia
Nipo kwa niaba yake tupia best
Sasa si kazi na dawa bestii..
Mimi nazikosa sana dawa zako [emoji3][emoji3]
Shos nipo hapa now jomoneeeeh, [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Hizo dawa ndo zinaboresha na kazi, maana zinanipa utulivu saanaaDawa zangu [emoji1787][emoji1787]! Fanya Kazi kwanza sisi Tupo tu...
Wee shoz hebu weka hiyo uliyofuta bhana, akuuuuh naanza kulia sasa hivi, na nkianza kulia huwa simalizi mapema, niko emotional sana mie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lol Brian Spilner dizain yuko kimya sana humu....
Hellow Brian.[emoji1672]
Utawasimulia kina Valentina na cocastic