Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee shoz hebu weka hiyo uliyofuta bhana, akuuuuh naanza kulia sasa hivi, na nkianza kulia huwa simalizi mapema, niko emotional sana mie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kurudia rudia mara tatu yote sio poa kabisa!!
 
Ndio. Tofauti kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi nimecheka sana, ndo ile ukweli robo tyuuh, robo 3 fix fix fix,

Ila hii JF sio ya kuweka mazoea sana na watu hadi kuonana hovyoo, wengi humu wachoraji, yule Naka kuna kitu kakipata hasa ile vibe ya valentine's km alijipua sehemu siyo, ataona JF chungu woiiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lol kumbe!! pole yake asee !;
 
Back
Top Bottom