Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Alafu mbona hazieleweshi hizi jana nimetupia chupa nzima.. ila hamna kituHamia kwenye jack Daniels
Alafu mbona hazieleweshi hizi jana nimetupia chupa nzima.. ila hamna kituHamia kwenye jack Daniels
Ndiyo maana bonge😒😒😒😒😒😒😒😒
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! nikiweka rangi ntakata sura yoteeeee🤸🤸🤸Irudiwe irudiwe... Umetubania rangi
Nakusubiri, sina haraka hataTangulia halafu funga sana na kuomba sana!!
Huko ntazima😁Hamia kwenye jack Daniels
Alafu mbona hazieleweshi hizi jana nimetupia chupa nzima.. ila hamna kitu
Ndiyo maana bonge
nimekumbukaUtadhani kweli🤣🤣
Usije ukasema tena kuwa sikukukumbusha
Nakuangalia tunimekumbuka
Tupe raha bana! nikiweka rangi ntakata sura yoteeeee
![]()
Miguu inawawashaNakuangalia tu
Kamwili kamegoma
Nao hawataki maisha marefu.. maana wanajua kabisa maisha yao ni mafupi sanaBut a short time to live...!
Unanione wivuuu navyonenepa eeh 😃😃Kamwili kamegoma
mtuchake nakualika ushuhudie neema za Allah
Ahsante kwa bonge la selfie boss ladyValentina Usinambie habari za irudiwe tena
Shimba Ya Buyenze mambo iko huku