cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,943
Kwa kweli watu mmeumbika haswaaah, mmejaliwa kila kitu, woiiiiiiiih [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Awapi!
Kwa kweli watu mmeumbika haswaaah, mmejaliwa kila kitu, woiiiiiiiih [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Awapi!
Leo naona ni siku yako mkuu. Umezikusanya kweli leo dah! Hongera!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi watu mna nn lakini, nimecheka kwa nguvu hadi watu wananishangaa wallah, khaaaahNimetaka kusema "nakupa nusu ya utajiri wangu" nashtuka kumbe hata huo utajiri wenyewe sina.
Wazee ndio wazuri Vijana mambo mengi!😜😜😜😂Kuna watu Mungu alijua kuwapendelea, isingekuwa Uzee nilionao ningekukaribisha uje tugawane Pension yangu Mkuu 🙊🙊🙊
Chako kama chakorii
Weuweeeeeeeh leo shape's day, [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji12][emoji12]
View attachment 2131742
mtuchake Shimba Ya Buyenze usiseme sijakwambia mkuu
Iko wapi Boss Lady?Msukuma kwamba yangu huioni sio!!!
Haya sasa, hebu tupia hapa yakwako na me nimalizie tupate lunch iliyotulia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi watu mna nn lakini, nimecheka kwa nguvu hadi watu wananishangaa wallah, khaaaah
Upaja upaja [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]![emoji12][emoji12]
View attachment 2131742
msukuma nakupa 5 mins naifuta sitairudia!Iko wapi Boss Lady?
Ila leo watu wameselfika kweli halafu nimeambulia zero. Mpaka Mama Mchungaji imagine. Hovyo sana [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Shos upambe unauweza kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji2956]Kwa kweli watu mmeumbika haswaaah, mmejaliwa kila kitu, woiiiiiiiih [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Yangu baadae, na mie natuma ya kipusa cha jeans, sitaki kutambishiwa mie akuuuiih, mie natuma mida yangu, wengi wanakua wamelala, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya sasa, hebu tupia hapa yakwako na me nimalizie tupate lunch iliyotulia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaah wapiii wee, mtoto mwenye shape yako duniani woiiiiiiiih.Shos upambe unauweza kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji2956]
Usinisahau shos will be here waitingYangu baadae, na mie natuma ya kipusa cha jeans, sitaki kutambishiwa mie akuuuiih, mie natuma mida yangu, wengi wanakua wamelala, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee ndo muhusika sasa yaan lazima uone, bila wee bado sijatuma, mbna, shoz angu mwenyeweee [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Usinisahau shos will be here waiting