Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Tutakukutanisha na mtaalam wetu wa IT ahakikishe hizo picha + links ni legit.😆😆Zile sio zangu nadownload Google Photos.
Wakati huo upo zako unaenjoy chai na maandazi 😉😁
Tutakukutanisha na mtaalam wetu wa IT ahakikishe hizo picha + links ni legit.😆😆Zile sio zangu nadownload Google Photos.
Lovely lady


Itakuwa wamekatengua kiunoHivi hajaonekana? Isijekuwa washamvunja miguu huko
Binamu fanya kuselfiks basi
Mungu akatunze huko kalipoItakuwa wamekatengua kiuno
Kama kweli kalijichanganya kupigana
Lizzy toa hiyo emoj
Mwee si nimeselfisha vidole vyangu kama tangawiziSelfika basi mama mchungaji

Hivi kweli eeh...!Wewe sijawahi kuona selfie yako rafiki
Ongeza ushawishi mkuu anaweza kuselfikasie pia hatujawahi kuona selfika yako
Naomba uweke basiAaaaah, basi sawa.
Vidole uliselfika kwa special requestMwee si nimeselfisha vidole vyangu kama tangawizi![]()
Naomba unisaifie kumshawishi na Khantwe aselfikeNaomba uweke basi
Na mimi nina bahati mbayaHivi kweli eeh...!
Basi unabahati mbaya, ziko nyingi sana zimekupita, tuselfike basi rafiki yangu
MweeeVidole uliselfika kwa special request
Sasa selfika ya leo leo
Mungu mkubwa jamani.Mnanisema sema eeeh... nitawanigaaa.. na kadogo kako Saint Anne ... nilikuwa nabebika na watoto.. View attachment 2128451![]()