Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,237
- 95,464
hahahaha.muda bd upo, we janja janja upo?Hii offer imepita eh
hahahaha.muda bd upo, we janja janja upo?Hii offer imepita eh
Nikuletee pieces ngapi mkuu? KaribuuHuyu
Wa kuitwa mtu wa hovyo hovyo
Ulimpelekea[emoji848]
Sio kesi
Jumanne saa za alasiri
Niletee
Sawasawa... Inapendeza ✌️Mimi nashuhudia selfie ya mama mchungaji tuu
KaribuHadi umefanya nigeuze simu yangu Juu Chini....
Niambie karibu kula ili nije kweli 😋
Mwee🤣wakati huo Pep kaenda wapi???? 😳
Usiku mwema wapendwa [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]!View attachment 2126399
Kwamba
Ni za lodge[emoji848]
[emoji2]hahahaha.muda bd upo, we janja janja upo?
Karibu lakini, najua Kwa maombi yako tutakula na kusaza kama ilivyokuwa Ile mikate na SamakiOoh hapo nimekuelewa mpendwa
MojaNikuletee pieces ngapi mkuu? Karibuu
Ntakukoma na kucha
Nilimuomba location akakaa kimya[emoji45]wee juzi ulimuahidi Valentina hukutimiza ahadi.. mbona unaonekana mzungu wa roho huo uswahili umeanza lini lakini???
Pep mwenyewe sijui amepotelea wapi jamani🤣
Ahsante sana, tutakula hadi tusazeKaribu lakini, najua Kwa maombi yako tutakula na kusaza kama ilivyokuwa Ile mikate na Samaki
😜😜😜😜😜Woiiiiii [emoji3059]
YaaniNtakukoma na kucha
Unaona anachoagiza huyu JD hawezi mahondawPeps plz
Sisi ki kwetu, hata ukikuta wenyeji wameshakula ukifika Mama wa Boma anakwenda kukupikia mgeni.