Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,058
- 61,282
Hadi umefanya nigeuze simu yangu Juu Chini....
Niambie karibu kula ili nije kweli 😋
Hadi umefanya nigeuze simu yangu Juu Chini....
Ahahaha ngoja nizoee mazingira mkuuSelfika bhas
Hakuna binti
Kutokea mbeya
Ameharibu uzi
Wote warembo
Na hadi weupe
Wapo imagine
Ndio muda wenyewe huu🤗Hofyoo. Kalale huko
Nipo kwa niaba yake nkamuSaint Anne upo au upitwe tu?
Nambie mrembo wangu!Jack Palladino habari za kutwaa????![emoji113]
Parachichi kama kawaidaa
Weee nilikuomba location[emoji848]Yule my ex ndo alizingua mpaka sahii hajatuma hiyo JD
Ila watu[emoji1787]Hadi umefanya nigeuze simu yangu Juu Chini....
Niambie karibu kula ili nije kweli [emoji39]
[emoji28][emoji28][emoji28] Nkamu wewe ushaniona sanaNipo kwa niaba yake nkamu
Tabia ya kupenda kula ugali asubuhi badala ya Chai imefanya niwe na uwezo wa kula chakula kingi kwahiyo tukiseviwa chakula kidogo kama hicho naona ni kama naonja tu 🙊Nimeona umelalamika kaugali kadogo nikajua ni ngosha moja
KunaAhahaha ngoja nizoee mazingira mkuu
.[emoji849]hao weupe watakuwa machotara
[emoji23][emoji23]bora hata wako umekubali kubrushika mimi majangaWeka bwana
Hata wangu nimeubrush na kabeauty plus[emoji1787]
Na wewe huwa unakula Ugali asubuhi badala ya Chai? 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ooh hapo nimekuelewa mpendwaTabia ya kupenda kula ugali asubuhi badala ya Chai imefanya niwe na uwezo wa kula chakula kingi kwahiyo tukiseviwa chakula kidogo kama hicho naona ni kama naonja tu [emoji87]
Peps plzKaribu sana, nikuagizie na Pepsi/Coca au Serengeti?
Mimi nashuhudia selfie ya mama mchungaji tuuwakati huo Pep kaenda wapi???? 😳
Kumbe na wewe umegeuza simu?Ila watu[emoji1787]
Nimegeuza
Nilichokiona
[emoji1787][emoji1787]