😍Sisemi uongo ndugu yangu.
Tutaachana, its true
But only when death sets us apart
TBT ndio nini mamaaa pastaaaLeo TBT eeh?
Unashikwa ndevu na forex nyengine hiyo usijisifu sana..😂😃😃😃😃 mie nipo nabebikaaa mkuu . unaumia unapo poteza hela ambayo hujawai ingiza.. hiyo kesho inarudi na zaidi ya hiyo.. mtoto hapa anashika kidevu tuuu na nyweleee 😎😎😎😎
Sina haja ya kusifu.. unachezewa kidevu na pisi kali mbili moja kulia moja kushoto.. unafikiri pigo la broker litakutesa basiii 😃😃😃😃😃Unashikwa ndevu na forex nyengine hiyo usijisifu sana..😂
Mkuu weka selfie tuone acha manenoSina haja ya kusifu.. unachezewa kidevu na pisi kali mbili moja kulia moja kushoto.. unafikiri pigo la broker litakutesa basiii 😃😃😃😃😃
Shida yangu nione hao forex wanaopumua.. we hata usiweke selfie nataka hao wadada😃😃😃😃 mkuu mbona natupia sana selfi.. huzionagi tu chief.. hapa badae naogeshwa mmoja anapaka sabuni mmona anakusugu.. unanitamania eeh
Si nawaona ili niwatambue tu..😃😃😃😃 wapenzi wangu uwaone ili iweje mkuu wangu.. nikiwaweka udhalilishaji mala mia niweke yangu.. unataka uone nini hasa kwanza 😃😃😃.. na ka mvua ka dar.. mmoja anaanda kahawa mmoja ananivisha pajama 😎😎
Astakhfillulah!Huk n mwendo wa mbuz choma..
View attachment 1244928
Km 50000 hapo.#tbt from when I was young 🙃View attachment 2129323
😂 Bladifakini😃😃😃 nitakurushia ka video kabisa PM.. raha bwana weee nipo kama kings.. watoto hawaruhusu nipate taabuu.. chumbani tu wang'aaa kama taaa.. hiiiii acha nire raha mkuu.. elewa vitoto viwili vyeupe, shape flani hivi hips lips kiss hivi meno yamenyooka meupe.. michirizi nyuma ya magoti kwa mbaali sio ile ya kero.. wana moto jotoo flani la pure zinc
😃😃😃😃 raha bwanaa..😂 Bladifakini
Kweli naonekana kwa maruweruwe...wiki hii nna stress za kufwa mtu dadeq!😂 Ukiwa na stress hata kukenua mashavu yanauma...hahaNipo hapa 24 hrs huwa sikuoni😁
Nani amekuvuruga tena uchebe wetu jamani??Kweli naonekana kwa maruweruwe...wiki hii nna stress za kufwa mtu dadeq!😂 Ukiwa na stress hata kukenua mashavu yanauma...haha
Nilikanyaga nyanya za watu pale kariakoo nikapewa kibano..teeeh!Nani amekuvuruga tena uchebe wetu jamani??
Hivi kuna watu wana nguvu za kukuvuruga?
Halafu kuna mwamba nae kaongezea kunivuruga...amenichanganya hadi natamani kumpa nakoz za nguvu!Aisee kumbe ndio wewe bwana🤣🤣🤣🤣Nilikanyaga nyanya za watu pale kariakoo nikapewa kibano..teeeh!Halafu kuna mwamba nae kaongezea kunivuruga...amenichanganya hadi natamani kumpa nakoz za nguvu!
Aisee kumbe ndio wewe bwana
Huyo mwamba anafanyaje tena jamani
Mungu akuepushie misala mingine


ndio mimi mpwa, wamepasua kiswaswadu cha watu hapa nipo gereji kukirekebisha na mwenyewe hakitaki tena...eti nimlipe kiswaswadu kipya..stress hadi utosini!!Mwee🤣🤣🤣ndio mimi mpwa, wamepasua kiswaswadu cha watu hapa nipo gereji kukirekebisha na mwenyewe hakitaki tena...eti nimlipe kiswaswadu kipya..stress hadi utosini!!