Selfika na JF: Snap it. Show it

Kamanda Pep tangu apigwe na kitu kizito siku ile akina Wigelekelo wakawa wanamcheka naona kapotea jumla. Watu wafuatilie kama yuko salama huko aliko
🤣🤣

Wige hana madhara mzee mwenzangu,

Anasaga kunguni hapa tu kwenye keyboard ila behind huko ni mmoja kati ya jopo la watanzania linalotuombea

Ubarikiwe sana mtumishi mwenzetu Wigelekelo
 
Kina Wige wavimba macho tu

Baba Mtumishi anashikilia jimbo lake, na hana mpinzani
Shem dada nilibarikiwa kupokea ujumbe wako.

Kumbe shem wangu nae ni moja ya creatures wachache walioumbwa asubuhi.

Mapema tu baada ya chai akafinyangwa!

Anyway, itoshe tu kusema baba mtumishi mwenzangu huko anapumzika pazuri huku akila mema ya nchi 😇
 
Igweee Igweee Igweee Igweee Igweee Igweee.

Aisee karibu tena shem lake, kwa kweli nimepata raha kukuona hapa. Achana na ule ujumbe, una tabia ya kufisha. 🤣🤣
 
Daah, yaani mtu mmoja huyo huyo ni mchawi, mlevi, sio mjanja, mshamba halafu mfupi...

Hakunaga, hawa ni watu wako umewaunda mwenyewe 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…