Haha wasukuma mnapenda sana majina yanayoanzia na "Ma" mfano Mabeyo, Mabula, Mabele, Masese, Masanja, Maranja nk (wote wenye majina hayo nimesoma nao na wengine walikuwa ni waalimu wangu)! Kuna siku niliona comment yako ulisema Busisi maana yake Ukwaju nikakuambia Mwanza kuna sehemu inaitwa Busisi nalipendaga sana hilo jina ila sikujua kama maana yake ni Ukwaju (Mwanza kuna maeneo mengi yanaanzia na "Bu" mfano Busisi, Buhongwa, Buzuruga, Bugarika, Buswelu, Bugando nk)!