Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Utanipa locationKwa leo ninywe mwenyewe then next time tutakunywa wote my ex
Utanipa locationKwa leo ninywe mwenyewe then next time tutakunywa wote my ex
NimevipendaUmeanza lini kuwa muongo?![]()

Sawa, rusha bathi yaleoUtanipa location

Nipe locationSawa, rusha bathi yaleo![]()
Namba si unayo my exNipe location
Kweli??😂Nimevipenda![]()
Nkamu tulage tu🤗Nkamu![]()
Piga sahani nyingine ujaziejazie kama Dada yako uliyempostigi.
Yule namfikia,ni jambo la muda na hela😂Piga sahani nyingine ujaziejazie kama Dada yako uliyempostigi.
Mkuu hivi hilo jina la "Mabena" ni watu wa wapiSongea karibuni- mfaranyaki street down town // now open View attachment 2124905
Msalimie sana mwambie nimeisave ile picha.Yule namfikia,ni jambo la muda na hela😂
hizo Dawa kiboko,kama ule mlima na haujashiba Hawa madaktari wawe wanaangaliaMimi na Lizzy hatutofautiani sana
Ni vile tu hii wiki kuna vidawa navikunywa vinaleta njaa.
Nimeongeza quantity kidogo.
Njombe mkuuMkuu hivi hilo jina la "Mabena" ni watu wa wapi