T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,932
- 30,092
HahahaKuna tofauti katika urefu wa irabu:
Būsisi - ukwaju
Būsiisi - sisimizi
Na kuna Busisi ile hali ya kutekenywa na mtu sehemu yoyote ya mwili bhageshi
HahahaKuna tofauti katika urefu wa irabu:
Būsisi - ukwaju
Būsiisi - sisimizi
Nene nalemhola sana nkoi...Ng'wagūkū bageshi. Natumaini hujambo na unaendelea vyema. Hicho chakula nimekuonea wivu aisee. Bagishege koi![]()
Kwa Kisukuma, wanzuki ni ‘bhonzuki’!Neno nililolikariri ni marehemu bibi akilewa wanzuki washua wakimzingua anawaambia lushindo lwako.
Sana kwa Kisukuma ni ‘gete’.Nene nalemhola sana nkoi...
Sawa bhagishiyagwa
Kwa kweli namshukuru MUNGU naendelea vizuri kabisa
Hahahahaha......Magigo ga nokoTusi baya sana. Bibi yako, bila shaka, alikuwa mkorofi sana. Marehemu bibi yangu alikuwa anapenda sana "magigo ga noko" kila tukimkorofisha. Ni afadhali mara mia kuliko "lushindo lwako" japo yote ni matusi![]()


Ni kama mbuzi na mtu aliye mpumbavu.Busisi ni ikwaju halafu busisi tena ni sisimizi
Ndiyo uko sawa kabisa mkuu sana kwa kisukuma ni "Gete"Sana kwa Kisukuma ni ‘gete’.
Hahaha...Olesawa nkingwaNi kama mbuzi na mtu aliye mpumbavu.
Mbuzi kwa Kisukuma ni ‘mbuli’.
Mpumbavu kwa Kisukuma ni ‘mbuuli’.
Dah mi nikajua ni jina la pombe.Kwa Kisukuma, wanzuki ni ‘bhonzuki’!
Ikimaanisha ni wa nyuki.
Ndiyo, ni pombe pia.Dah mi nikajua ni jina la pombe.
Ndiyo afandeeeeYeah naomba nitumie! Halafu kuna ile pdf moja uliwahi nitumia ni kamusi ya maneno ya kinyakyusa na tafsiri zake kwa kiswahili kama unayo naomba nitumie tena maana niliipotezaga!





"Gete gete" kamandaGete gete
Mshakutana 🙂Sana kwa Kisukuma ni ‘gete’.
karibu tupate mbuli na bhonzuki,kamanda"Gete gete" kamanda
Sawa mkuu!Ngoja night kali bibie, wakishapungua.
Hapo itabidi tuingie kwenye ya mambo toni sasa - utofauti katika matamshi. Hebu jaribu kutamka maneno haya kwa sauti halafu unipe mrejesho:Hahaha
Na kuna Busisi ile hali ya kutekenywa na mtu sehemu yoyote ya mwili bhageshi
Unashiba hapo Simara??
Tule tu nkamu