Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,224
Movit hizi za kawaida mwayaNimekuquote mara mbili
Nilikuwa nauliza ni movit ya sulphur au
Pacha wake na yule wa aloe ‘ ya kijani
Movit hizi za kawaida mwayaNimekuquote mara mbili
Nilikuwa nauliza ni movit ya sulphur au
Kwema kabisa.
Hahaha haizidi 20KNi sh ngapi kwanza,
Isije kuwa mshahara wangu wote unaishia kichwani
Utalirudisha ulikolitoa🤣🤣🤣🤣Jina limetoka hapahapa![]()
Hapo sawa,maana😂Hahaha haizidi 20K
Ooh okayMovit hizi za kawaida mwaya
Pacha wake na yule wa aloe ‘ ya kijani
Thank u… mimi sikuwa na dawa asee nilikomaUlipendeza
Urembo raha ila maumivu yake balaa... toka nisuke vibob sijahangaika tena kusuka , nilipaka diclogel ndo maumivu yakapungua .
Ukuje ofisini uje kuniona live myKama umebadilika jamani? Ndiyo nisione mabadiliko 🥰🥰
Nilalia komwe langu ili maumivu yatulie wapi 😂..Thank u… mimi sikuwa na dawa asee nilikoma
Neno komwe huwa linanifurahisha sana.Nilalia komwe langu ili maumivu yatulie wapi..
Kusuka ni shida jamani
Hahahha ... alisemaje huyo mhariri mwandamizi wa kiswahili BAKITANeno komwe huwa linanifurahisha sana.
Nakusalimu ndugu na Oni Sigala.
Hahahha ... alisemaje huyo mhariri mwandamizi wa kiswahili BAKITA


Ni vile tu naliona neno hilo ni kiswahili cha ndani sana cha akina Sigalla. Ndio maana nimekupa undugu nae.Hahaha okay ..Ni vile tu naliona neno hilo ni kswahili cha ndani sana cha akina Sigalla. Ndio maana nimekupa undugu nae.
Dada hivi kumbe umeolewa? Hongera sana!Huwa nafika muda nywele zinanichosha, nanyoa, narudi zangu kwenye rough dread (imekuwa style yangu ya miaka mingi), ila sasa hivi nataka nitafute style nzuri tu ya kunyoa na bleach langu amazing. Nikiwaza bichwa langu sasa, na faza hauzi sijui atasemaje
We jamaa huwa unabadili kila kitu ila hiyo tisa huwa huishushagi sijui kwaniniPendeza rafiki


😋😍 nimekubali kishingo upandeUkuje ofisini uje kuniona live my