Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20220131_010251.jpg
 
Unampa tua gaidi bigG kwanza achill....

Ukiona wanazidi kutoa connection unawaambia wazazi basi ngoja niwasimulie tukio lililonotokea wakati nipo darasa la pili B.....
Unawasimulia hadithi yeyote ya akaja sembamba ila kama wakiwa wanapenda kachumbari kama hao kina Manka hapo, wala hawatakusikiliza...

Ndo kwanza watamuomba tua gaidi darubini ili waone connection kwa ukaribu zaidi....

Ila.....
Nimetamani kuvunja side mirror ya hiyo gari na kunyanyua mkia wa Simba....!

Nilikuwa nataka nione mguu wake ukojeukoje....
Hahaaaaaa kaangalie mguu wa punda au farasi
 
Back
Top Bottom