Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,034
- 6,038
Chai ishaingia inzi hii..Saa Saba hii ngoja nilale mkuu!
Chai ishaingia inzi hii..Saa Saba hii ngoja nilale mkuu!
Ngoja nilaleeeeee mkiendelea nahizi sifa sifa zenu ntaacha kabisa kujilipua mjue!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ngoja nilale
Nimeshajifunika
Gibigubi
KabisaChai ishaingia inzi hii..
Saivi Nina Usingizi ngoja nilale tu...muwe na Usiku mwema friends!🚶🚶🚶😴😴😴😴😴Me niko tayari tuhame kiwanja![]()
Khaa..Kabisa
Tonge limenipita mdomoni. Yaani nilikuchagulia kapicha kako pekeakoo...Saivi Nina Usingizi ngoja nilale tu...muwe na Usiku mwema friends!![]()
Jamani Brian !! Tuma basiiTonge limenipita mdomoni. Yaani nilikuchagulia kapicha kako pekeakoo...
Sijaona ndio kwani umetuma???Usiniambie hujaonaa..![]()
Usiniambie hujaonaa..![]()
I swear.Sijaona ndio kwani umetuma???
Standby hapa 🙇🙇😳😳😳I swear.
Naweka tena, usipepese macho
Waoooooh! 🙏🙏Nahesabu sec 10View attachment 2101953
Ukiniambia hujaona tena tunahama uwanjaStandby hapa![]()
I swear.
Naweka tena, usipepese macho
Nimeona nimeona mkurugenzi!Ukiniambia hujaona tena tunahama uwanja
Nitoe wapi kitengo mie mgagagigikokoWatu wenye vitengo vyenyuuu!! Smaaaarrtttt kabis doh!

