Huyo namjua yupo vizuri kwenye kuzoom ukitupia unashangaa huyu hapa doh!
Lete tu mama, kwa vitu nnavyoona hapa, hata ukisema nikeshe ntasubiri tuu..Ya leo imekaa vibaya sana Ndiomana!! Labda niiedit kwenye black and white labda
Hahaha..hadi wewe ma mtumishi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hahaa!!!Ooh iedit basi
Ndiyo, hata mimi[emoji23][emoji23]Hahaha..hadi wewe ma mtumishi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hahaa!!!
Muone, muonee..Ooh iedit basi
hahaha.kwa kukumissAahh unakufaje kirahisi hivo wee mjeda!!?
Halafu huyu Heaven Sent ndo anafanya usitupie zile za kinyamwez..Hahaha..hadi wewe ma mtumishi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hahaa!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!Halafu huyu Heaven Sent ndo anafanya usitupie zile za kinyamwez..
Ivi humu hakuna kuremove mtu [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaaa..kwa leo tuishie hapo hii ya leo aibu naona mimii!!Lete tu mama, kwa vitu nnavyoona hapa, hata ukisema nikeshe ntasubiri tuu..
Walah.. nikiona hiyo na mimi najilipua hapa hapa mbele yakoHahahaaa..kwa leo tuishie hapo hii ya leo mi mwenyewe naona aibuu!!
[emoji25][emoji25][emoji25][emoji24]Hahahaaa..kwa leo tuishie hapo hii ya leo aibu naona mimii!!
hahahaha.kwann uishia hapa?Hahahaaa..kwa leo tuishie hapo hii ya leo aibu naona mimii!!
Weee sema kweli basi!!Walah.. nikiona hiyo na mimi najilipua hapa hapa mbele yako
Me ndo nakwambia ivoo...Weee sema kweli basi!!
Haijakaa poa kabisa! sema kuna mbadala hapa nilikua najaribu kucheza staili moja ya amapiano ileee ya kama kuteleza miguu hivi hahaha niwaleteee???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12]hahahaha.kwann uishia hapa?
jilipue naye ajilipue,uwanja wenuMe ndo nakwambia ivoo...
Af mama mchungaji kashaenda devotion ya kulalia.
Kazi kwetu, unyama mwingii..
Me nataka zote mbili, original na mbadala wakee [emoji2][emoji2]Haijakaa poa kabisa! sema kuna mbadala hapa nilikua najaribu kucheza staili moja ya amapiano ileee ya kama kuteleza miguu hivi hahaha niwaleteee???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12]
Kwakua mi nshatuma Anza wewe sasaMe ndo nakwambia ivoo...
Af mama mchungaji kashaenda devotion ya kulalia.
Kazi kwetu, unyama mwingii..
Wee unajiweka wapi? Nawewe jilipuejilipue naye ajilipue,uwanja wenu