Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,313
Mida mida uwe unashtuka unachungulia mkuu!Kwa kweli mnatunyasanyasa sie tunaolala saa nne. Sawa tu.
Mida mida uwe unashtuka unachungulia mkuu!Kwa kweli mnatunyasanyasa sie tunaolala saa nne. Sawa tu.
Naanza kutafuta kazi ya usikuMida mida uwe unashtuka unachungulia mkuu!
Loading.......
Hamna kitu kinahitaji ujasiri kama kukiss na mtu aliyetoka kula ubwabwa samaki





nn tena rafiki ?
🤣🤣🤣 Umewaza nini mkuu lakini kha! Inafikirisha sanaHamna kitu kinahitaji ujasiri kama kukiss na mtu aliyetoka kula ubwabwa samaki
Nimecheka na kutafakari kwa pamoja Picha iliokuja nimeiogopa nakuikwepa kabisa!
! Noma sana!Itakua Jana ulikutana nahio situation mkuu!


Pole asee it's disgusting like 









Dimpoz!😘😘💋
Mkuu yaan kale ka shombo inabidi upige mswaki na sensodyneItakua Jana ulikutana nahio situation mkuu!Pole asee it's disgusting like
![]()
Macho na mapaja teke teke
Hahahaaa...Mkuu yaan kale ka shombo inabidi upige mswaki na sensodyne
Matatu tu Babygal…