CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Yeeeh hii ni ya 5 nahc,,, ile continental drift ni ya 3 or 4Hii ni muendelezo wa ile ile ya kina Drake au
Yeeeh hii ni ya 5 nahc,,, ile continental drift ni ya 3 or 4Hii ni muendelezo wa ile ile ya kina Drake au
Sauti za wale wale au WamebadilishaYeeeh hii ni ya 5 nahc,,, ile continental drift ni ya 3 or 4
Ni the sameSauti za wale wale au Wamebadilisha
Asante wiiUsijali ntakuja PM hapa kwa sasa zoezi nimefunga rasmiii!
[emoji16][emoji23][emoji2][emoji23]wamegonga kwenye mfupaaaEeeh, Wacha nipate Beer 3 kwanza haraka haraka hapa Nipunguze ukali wa mahubiri ya church leo..View attachment 2101020
Acha kabisaaa..yaan[emoji1][emoji1][emoji16][emoji23][emoji2][emoji23]wamegonga kwenye mfupaaa
Poleeee!!!!hahahaa!umedondokewa na kitu kizito,hua inatokea mpk unajihisi au wameona Mimi ndo mhusika unajishtukia balaa unaanza mawazoAcha kabisaaa..yaan[emoji1][emoji1]
Hivi inawezekana ulikuwa busy na coursework eeeh ukapitwa na picha ya shemeji yako tall darkHuhuhuhuhuh huyo cc nae anapenda that tall dark guys? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@Heaven Sent
Hii lugha
Mie nihudhuria st kayumba
Nisaidie
Eti hapo ndio kasema nini[emoji1787][emoji1787][emoji2089]
ndo kinaitwaje.chakula cha kishuaView attachment 2101104
Baada ya Church ni kujisosomola[emoji39][emoji39]
Nadhani jaribu haliwi jaribu hadi limekufikisha njia panda.Mamaaa pastor Heaven Sent na mdogo wangu mpenzi Saint Anne.. Khantwe ni swali la usiku [emoji4][emoji4][emoji4]... Why shetani alienda ku mjaribu Yesu Kristo baada ya mfungo wa siku 40 ?
Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa.
Mjaribu akamjia akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate.
Na nini kilifanya Yesu Kristo ashinde na shetani akamuacha kwa mda [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]..
ndo kinaitwaje.chakula cha kishua
mmh manzese kwetu hakuna hichojamani sio cha kishua bana[emoji1]
SafiSaint Anne mambo
mmh manzese kwetu hakuna hicho