Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi mpendwa yaishe...sikujua kama ana 76 yrs kumbe kweli mzee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman ko kumbe ni muongo, sasa ile siku alikazana mno na akasema ile birthday yake ilopita last December ndo anakamilisha 76yrs, woiiiiiiiih

Nweei post selfie yako bas.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman ko kumbe ni muongo, sasa ile siku alikazana mno na akasema ile birthday yake ilopita last December ndo anakamilisha 76yrs, woiiiiiiiih

Nweei post selfie yako bas.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] weee sijasema nimuongo nimesema mimi ndio sikujua we binti unanitafutia balaa. Selfie nimeshapost sana hapa subiri siku nyingine nikifurahi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cc afu sijakutag mbna, nkuoneshe shem wako, mipango ya ndoa iko on [emoji91][emoji91][emoji91], wee unakwama wapiii?
Utachapwa uchakae, watoto wadogo hakuna kuolewa, ni kanani hako kashem? Ntakadunda pia sitaki kuharibiwa mdogo angu😂😂 mimi dada yako mmh bado😬
 
Nikitulia, ntaandika kagazeti
Mamaaa pastor Heaven Sent na mdogo wangu mpenzi Saint Anne.. Khantwe ni swali la usiku [emoji4][emoji4][emoji4]... Why shetani alienda ku mjaribu Yesu Kristo baada ya mfungo wa siku 40 ?
Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa.
Mjaribu akamjia akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate.


Na nini kilifanya Yesu Kristo ashinde na shetani akamuacha kwa mda [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]..
 
Heaven Sent mama malezi check product of Mbeya.
Awwww jomoneeeeh mweeeeeh. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Screenshot_20220125-213838_1.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] weee sijasema nimuongo nimesema mimi ndio sikujua we binti unanitafutia balaa. Selfie nimeshapost sana hapa subiri siku nyingine nikifurahi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana itakua hana huyo umri bhana.
Duuuh siku hizi huwa napitwa picha muhimu mno daaah.
 
Utachapwa uchakae, watoto wadogo hakuna kuolewa, ni kanani hako kashem? Ntakadunda pia sitaki kuharibiwa mdogo angu[emoji23][emoji23] mimi dada yako mmh bado[emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee zubaa shauri yako lol, mue nakuacha home hivyo.
Gregory 2000 hebu sema neno lako kuu, na dada yangu huyu kipenzi apate kupona. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikitulia, ntaandika kagazeti
Haya nitakukuta acha nikalale..

Nijulishe, ee mpendwa wa nafsi yangu, Ni wapi utakapolisha kundi lako, Ni wapi utakapolilaza adhuhuri. Kwa nini niwe kama aliyefungiwa kidoto, Karibu na makundi ya wenzako?

Usipojua, wewe uliye mzuri katika wanawake, Shika njia uzifuate nyayo za kondoo, Na kuwalisha wana-mbuzi wako Karibu na hema za wachungaji.

Acha nijipumzishe na mpenzi wa nafsi yanguu 😊😊
 
Back
Top Bottom