Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
Duuh mara kibao sana mbona. Itakuwa tunapishana tu
Hujawah kuselfika
Hujawah kuselfika
Mbona huwa sifuti picha zangu..zipo kibao huko juu.
May be, never seen one.Duuh mara kibao sana mbona. Itakuwa tunapishana tu
Hujui uzee ni dawa!hakuna loloteee Wazee tu sisi

Mnada mpya mazizini hukuu!,au Swahili food baathiii!!!!Mnadani ni jumamosi mpaka jumamosi. Leo utakuta mabanda tupu.
Hapo ndo ushanipiga chenga, hiyo mazizini naijua basii.. me nmezoea msalato.Mnada mpya mazizini hukuu!,au Swahili food baathiii!!!!
Mkuu huku mvua ilinyesha usiku nikalazimika kutafuta usingizi. Nipe Summary ya kilichotokea na selfika ya j2.Umelala we muhaya?!!![]()
Nilipitiwaaa
Mkuu, huku ndio Ikungulyabashashi?

@reymage sorry nilipitiwaaa na majukumu ya kifamilia. Siku nyingineNkwelaaaa! Nakuja Dodoma wallahi!![]()
Nawaonea wivu walioonaWalioona wameona!!!sura za kina baba zetuu....!!!!wife materials
Mbona umenikwoti mkuu? Au wewe ndiye Mhaya uliyetajwa nini? Maweee! Nayanga bojo!@reymage sorry nilipitiwaaa na majukumu ya kifamilia. Siku nyingine



Ningejuwa Mimi mbona ningewatambia wote mngejua.Mbona umenikwoti mkuu? Au wewe ndiye Mhaya uliyetajwa nini? Maweee! Nayanga bojo!
Ni matani tu usije ukamaindi aisee![]()
when did you start doing that
? Why did u do it crash,, why 
we are supposed to be brothers 


Ice age: bucks adventure Ni wewe mkuu usibishe. Umeshindwa hata kujificha aisee!Ningejuwa Mimi mbona ningewatambia wote mngejua.





ya ku downloadItakuwa vyema sana ukiweka photo .
Muulize shimba atakuambiaMkuu huku mvua ilinyesha usiku nikalazimika kutafuta usingizi. Nipe Summary ya kilichotokea na selfika ya j2.