Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,310
Nilipitiwa na usingizi wiii...nifanyie wepesi wengi bado hawajaamka wiii!!Wifi nliwaambia Jana ntakua hewani midnight ilikuaje ukapitwaa...![]()
Nilipitiwa na usingizi wiii...nifanyie wepesi wengi bado hawajaamka wiii!!Wifi nliwaambia Jana ntakua hewani midnight ilikuaje ukapitwaa...![]()
Hawa ndo wa kutupia sasa sisi vistick upepo unatuzoaaTuwe watulivu, siku yetu itakuja tu! Tupia nawe ule msambwanda...manake miss mahondaw umebarikiwa vilivyo!
Kazi ya wifi yako kuvichezea hadi nisinzieVidevu sasa!navipendaga balaaa


Mimi nimemmisi Wifi yangu waukweee asee.... Nimemmisi sanaaaTuwe watulivu, siku yetu itakuja tu! Tupia nawe ule msambwanda...manake miss mahondaw umebarikiwa vilivyo!
Huo usiku mdogo wangu unatunyima wengine uhondo bwana!!Hawa ndo wa kutupia sasa sisi vistick upepo unatuzoaa
Santo sana.... Nawe uwe na jumapili njema MkuuHappy Sunday...View attachment 2100514
Wii usinifanyie hivoo jamani!Hawa ndo wa kutupia sasa sisi vistick upepo unatuzoaa
Muombe atupie mchana huu basi, usiku mwingi wengi tumelala.Mimi nimemmisi Wifi yangu waukweee asee.... Nimemmisi sanaaa
hahaha mambo nitafanya hivyo mremboUje uweke siku utufanyie suprise
Haya tunaisubiriahahaha mambo nitafanya hivyo mrembo
Happy Sunday...View attachment 2100514
Mbona huwa sifuti picha zangu..zipo kibao huko juu.Hatimaye Na mimi nimebahatika leo kukuona
Mganga mjeshi!
Usijali ntakuja PM hapa kwa sasa zoezi nimefunga rasmiii!Wii usinifanyie hivoo jamani!