Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
Mfikishie taarifa Saint Anne
Huwa nasikia tu

Haya nitakukuta acha nikalale..
Nijulishe, ee mpendwa wa nafsi yangu, Ni wapi utakapolisha kundi lako, Ni wapi utakapolilaza adhuhuri. Kwa nini niwe kama aliyefungiwa kidoto, Karibu na makundi ya wenzako?
Usipojua, wewe uliye mzuri katika wanawake, Shika njia uzifuate nyayo za kondoo, Na kuwalisha wana-mbuzi wako Karibu na hema za wachungaji.
Acha nijipumzishe na mpenzi wa nafsi yanguu![]()
Hili la leo?![]()

1. Usiku kitandani nalimtafuta mpendwa wa nafsi yangu,Nalimtafuta, nisimpate.
2. Nikasema, Haya, niondoke nizunguke mjini, katika njia zake na viwanjani, nimtafute mpendwa wa nafsi yangu. Nikamtafuta, nisimpate.
3. Walinzi wazungukao mjini waliniona;Je! Mmemwona mpendwa wa nafsi yangu?
4. Kitambo kidogo tu nikiisha kuwaondokea, nikamwona mpendwa wa nafsi yangu; nikamshika, nisimwache tena, hata nilipomleta nyumbani mwa mamangu, chumbani mwake aliyenizaa.
Wewe ndiwe chemchemi ya bustani yangu, kisima cha maji yaliyo hai, vijito vya Lebanoni viendavyo kasi.Kubusu na anibusu kwa kinywa chake. Maana pambaja zako zapita divai;



Huhuhuhuhuh huyo cc nae anapenda that tall dark guys?![]()
Jomoneeeeh wanyaki hoyeeeeeeh, huyu mtu kani suprizeee mnoooo,Asiwapende mchezo







Badovolume inatosha?

Wimbo ulio boraKubusu na anibusu kwa kinywa chake. Maana pambaja zako zapita divai;
Huyo ndiye shemeji? Ntamdunda mimiwee zubaa shauri yako lol, mue nakuacha home hivyo.
Gregory 2000 hebu sema neno lako kuu, na dada yangu huyu kipenzi apate kupona.![]()
Fanya hv,, tafuta veil za rangi 3 tofauti na gauni 1,, na mm suti 1 na bowtie 3Ndiyoooooh sweetheart![]()
Unamtisha shemejiUtachapwa uchakae, watoto wadogo hakuna kuolewa, ni kanani hako kashem? Ntakadunda pia sitaki kuharibiwa mdogo angumimi dada yako mmh bado
![]()

ukumbini utakula jeuri yako ohoooAsubiri invitation card tu,, akae mkao wa kukaa chiniwee zubaa shauri yako lol, mue nakuacha home hivyo.
Gregory 2000 hebu sema neno lako kuu, na dada yangu huyu kipenzi apate kupona.![]()

