donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
Yaan acha kabisa mkuu, mpaka tumefika makumbusho stand tunatamani safari iendeleeUtatamani usishuke etii!!![]()
Yaan acha kabisa mkuu, mpaka tumefika makumbusho stand tunatamani safari iendeleeUtatamani usishuke etii!!![]()
Kinyama yani aiseAkifurukuta itakua ukuda kinoma
We hayo ya umaalum yametoka wapi mi nimekuja zangu tu kutembeaKazi maaaaalum, mtu maaalumu.![]()


wewe mtu maalumu.. kitambulisho kina sign ya mama mwenyewe hatari sana shekheeWe hayo ya umaalum yametoka wapi mi nimekuja zangu tu kutembea![]()
You got it Babygal 😉.Ohhh my gosh!!!How can I forget the good old days???? 😁
Those. Were. The. Days!!!☺
Sasa inabidi siku unipikie so I can see for myself just how much of a pro you are! Nitoe marks mwenyewe....😉
Kinyama mkuuDaaaamn nadhan ilikuwa poa kinoma yaan![]()
😂😂😂Hiki kitu unataka kuniomba leo....dah 🤣🤣
Mkuu una buku hapo?Unataka kuniomba nini mkuu
Wana jamvi mniombee😁😁Amen kubwa.
Mungu ni mwema sana mtumishi mwenzangu shem.
Tukiishia niani tutakua tumefanya ukuda mno.
Usisite kuendelea kutuombea.
Nshamaliza...
Kitumbua hutaki sio..![]()
Aiyaaa...Nshamaliza...
Sasa hapa mkuu ndo umekata kiuu..
Nimeelewa kwanini juzi ulifutiwa dhambi.
Mimi nakufutia dhambi zote zijazo
Umejua kuumbika



Hivi hata Kawe Alumni hatakusaidia kweli?Bia yetu ambavyo hanipendi hataruhusu ukumbi utoke yeye kama mwenyekiti wa shamba