Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,263
- 183,157
Hahahaaa.... Mi mbona huko nishatoka sasa!!! Nimeshastaafu mimiTena wewe ndio saana maana umeniita kijana mara mbili [emoji3][emoji3].
Unaniitaje kijana ivo yan wakat me mhenga tuu..
Hahahaaa.... Mi mbona huko nishatoka sasa!!! Nimeshastaafu mimiTena wewe ndio saana maana umeniita kijana mara mbili [emoji3][emoji3].
Unaniitaje kijana ivo yan wakat me mhenga tuu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee!!!Wee unaenda Wapi sasa! Mimi nakuunganishia unazingua tena!!! Tulia hapohapo kijana nishamset anakuja
UmependezaMkuu mimi moyo umeridhika ila kiu sasaa...
Ila wanasema mkono mtupu haulambwi, ngoja nikuchombeze na hii [emoji116][emoji116]View attachment 2098277
Maini hayazeeki mkuu...Hahahaaa.... Mi mbona huko nishatoka sasa!!! Nimeshastaafu mimi
moto moto na sie kama maji na oxygenInaelekea anapenda vitu vizito🤔
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah sasa si kutembelea miradi? Na sio jimbo lake ki umiliki?Dada usiwe muoga, hujawahi kuona waziri wa maji ametembelea jimbo la spika mnazareth?
Maini ilioharibika sio tamu na haifai kuliwa kabisaMaini hayazeeki mkuu...
We staafu tuu ila maini tuachiee..
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji177][emoji177][emoji3344][emoji3344][emoji3344]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaah wapi wee, kavu kavu yaanLabda utoe pili-pili kidogo [emoji1787]
Sasa hapo ndo kuna kujiongeza mapema, we unadhani mnazareth atarudi jimboni msimu ujao, shauri yako, jimbo lazma liwe wazi lilee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah sasa si kutembelea miradi? Na sio jimbo lake ki umiliki?
Huyo sio size yangu hata, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakukabidhi Kijana huyo!
[emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590]Asante
Maini haiharibiki mpaka ufe. Na wewe bado hujafa.Maini ilioharibika sio tamu na haifai kuliwa kabisa
Leo
Ile ya kunichambua kupitia mwandikomada gani tena 😊😊
Wee shos mbona anakufaa kabisa! Usiniangushe please!Huyo sio size yangu hata, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mwenyew unajua, unanichoraaah uwiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lile jimbo litakua la yule aliyepigwa kiboko na mshenga wa yesu. WoiiiiiiiihSasa hapo ndo kuna kujiongeza mapema, we unadhani mnazareth atarudi jimboni msimu ujao, shauri yako, jimbo lazma liwe wazi lilee...
My super tall handsome🤭
😁😁moto moto na sie kama maji na oxygen