Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
[emoji1787]Fresh tuuu[emoji17][emoji17][emoji17]
[emoji1787]Fresh tuuu[emoji17][emoji17][emoji17]
Waooo team.. fx.. Nimeshikwa SPX500.. kupumua sipumui
CADJPY sijawai kuwa na bahati nayo.. 😉
karibu tule.. alafu tukaogelee dada yangu[emoji8][emoji8] nambie
Nnavopenda kula vitamu sasa doh! Nakuja asee ila sijui kuogelea![emoji12]karibu tule.. alafu tukaogelee dada yanguView attachment 2098689
Nakufundisha kuogelea usijali dada wangu kipenzi 😊😊Nnavopenda kula vitamu sasa doh! Nakuja asee ila sijui kuogelea![emoji12]
Nilikuwa huko na hukoWigelekelo kama Wigelekelo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mtumishi[emoji8][emoji8] nambie mdogo wangu
Nipo na dada yangu mahondaw tu hapa.. tunapiga story mbili tatuNilikuwa huko na huko
Niambie kuna kilichojiri hapa[emoji1787][emoji21]
Basi sawaNipo na dada yangu mahondaw tu hapa.. tunapiga story mbili tatu
Mimi tena nasema nini hata! Basi tu roho wa bwana ameniangukiaa labda!Mtumishi
Wa hovyo hovyo
Hawezi kupiga kelele
Bila sababu
Ebu ieleze kaumu hii
Umemtenda nini[emoji848]
Kuogelea tena mweh!!Basi sawa
Na mtaogelea
Ama nini[emoji1787]
Naona imebidi utoe ufafanuzi kabisa ni kitumbua gani unaomba [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Dada Lizzy naomba kitumbua, I mean hicho kilichobaki. Au unipe ilo buku nikanunue chakwangu.
HahahaNaona imebidi utoe ufafanuzi kabisa ni kitumbua gani unaomba [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Na iwe heriMimi tena nasema nini hata! Basi tu roho wa bwana ameniangukiaa labda!
😀😀😀😀.. tupia ka self basi kwanzaHaha...naomba tumualike na cocastic ndio story zitanoga zaidi