Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Naona imebidi utoe ufafanuzi kabisa ni kitumbua gani unaomba![]()


Naona imebidi utoe ufafanuzi kabisa ni kitumbua gani unaomba![]()


Amen..mtu na dadae wanakula kunywa na kuogelea sio!Na iwe heri
Hapo sasa unaharibu!😀😀😀😀.. tupia ka self basi kwanza
Aisee alikuaga ananikwaza huyo mkulima...daah 🤣🤣Hivi hata Kawe Alumni hatakusaidia kweli?
Okay....uje nikufanyie maombi ya mtu mmoja mmojaWana jamvi mniombee😁😁
Sinzia tena leo uone....ntakuamsha na vibao vya kwenye nyama ya serikali 😡😕😂😂😂
Tunaendeleza mada ya jana,pale niliposinzia inaanzia palepale.
Kazi kwako,aidha uchague nikuombe picha ,au unataka mada ile ile nikusimange😂😂😂😂😂
Sidhani kama ni Wasukuma wote. Na naamini kizazi hiki cha kisasa kitakuwa kwenye ukimbaumbau - usasa! Zamani kidogo ukioa ilipaswa utafute mwanamke mnene (japo kidogo), mrefu na ikiwezekana mweupe kidogo. Na wingi wa mahari ulitegemea vigezo hivyo kimaumbile.Wasukuma kwa wanawake wanene mnainjoigi nini Shimba maanasiye vimbaumbau km mwiko wa pilau mnatuona km mwichii


🤣🤣🤣🤣🤣Okay....uje nikufanyie maombi ya mtu mmoja mmoja
😂😂😂Sinzia tena leo uone....ntakuamsha na vibao vya kwenye nyama ya serikali 😡😕
Aya, hii hapa.😂😂😂
Utachagua uweke picha au mada iendelee😁
Trader mwenzio ye ndo zake...mie namtizama tu🙂CADJPY sijawai kuwa na bahati nayo.. 😉
Uchizi mwingi sana😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
akufundishe kiduchu 😊😊Trader mwenzio ye ndo zake...mie namtizama tu🙂
nakufundisha dada jamaniKuogelea tena mweh!!
....some place awesome!Guess where…View attachment 2098718
Ndio mkuu kuna kitu kinaitwa total eclipse of the original message. Ningeeleweka vibaya mimi kwenye halaiki. Hata jibu lake limekwepa kabisa kitumbua, ameona bora anipe buku tuu..Naona imebidi utoe ufafanuzi kabisa ni kitumbua gani unaomba![]()

