Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ehhh... Labda kwakua hatujaizoea hio... hapana sijaongelea mahaba yakee kabisa..hata hivo ushanielewesha nishafuta kauli
Ukitoa hiyo avatar binafsi nitaumia na nitakusahau hata ukikoment😀😀
Mazoea mabaya jaman😁😁

Kuna kitu nilitaka kuandika hapa ngoja nitulie 🤣🤣🤣

Ila unanikoshaga sna ujue
 
Ukitoa hiyo avatar binafsi nitaumia na nitakusahau hata ukikoment😀😀
Mazoea mabaya jaman😁😁

Kuna kitu nilitaka kuandika hapa ngoja nitulie 🤣🤣🤣

Ila unanikoshaga sna ujue
Lol andika basi best... hahahaaa..nina mpango wa kujaribu kubadili id na avatar nione itakuwaje 🙄🙏
 
Back
Top Bottom