Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,453
mmmhLol andika basi best... hahahaaa..nina mpango wa kujaribu kubadili id na avatar nione itakuwaje 🙄🙏
mmmhLol andika basi best... hahahaaa..nina mpango wa kujaribu kubadili id na avatar nione itakuwaje 🙄🙏
Mimi nitaweka kijisambwanda changu chapMtu chake Akitupia naweka sura yangu hapaaa...yani picha full hadi sura yangu
🤣🤣🤣🤭🤭🤭🤭🤭! Najaribu tu niexperience the difference!Afu iweje nawee khaaaah
mmmh
dah nafanyia kazi maoni,madai ya marafikimtu chake Kazi kwakoooo
Fanya chap kwa haraka sasa!dah nafanyia kazi maoni,madai ya marafiki
hahahahahaha,ndo namsubiri isa michuzi anifotoe fotoomtu chake upo hapooo..haya fanya hima rafiki ful faces full misambwada dadeki tupia basiii
hahahaha nisidhulumu nafsiFanya chap kwa haraka sasa!


Mjeda unazunguaa!hahahahahaha,ndo namsubiri isa michuzi anifotoe fotoo
We nae..kwanini sasaLol andika basi best... hahahaaa..nina mpango wa kujaribu kubadili id na avatar nione itakuwaje 🙄🙏
hahahaha na ww utaweka full picha?Na unga mkono hoja hadi mimi nitafanya hivyo😀
Big timeMjeda unazunguaa!
Eti wee hupendi Mambo mazuri Kwani?? Tumekuahidi kabisa...tupia basiiihahahaha nisidhulumu nafsi
……hahahaha na ww utaweka full picha?
Yes mtu mwenye chakehahahaha na ww utaweka full picha?