Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
hahahaha jana nilitekwa msasani huko.nimeachiwa muda huumtu chake katekwa
dah.jamaa kitambo wakandamizajiLuka 3:14 (BHN)
Nao askari wakamwuliza, “Na sisi tufanye nini?” Naye akawajibu, “Msichukue vitu vya mtu yeyote kwa nguvu wala kumshtaki yeyote kwa uongo. Toshekeni na mishahara yenu.”
kina zakayodah.jamaa kitambo wakandamizaji
Huyo anawakilisha watoza ushurukina zakayo
Ila jamaa alikua na sound balaa, huchomoki hapoWewe ndiwe chemchemi ya bustani yangu, kisima cha maji yaliyo hai, vijito vya Lebanoni viendavyo kasi.
Haya kalale unenepe![]()

hahahahakina zakayo
Nambie rafiki...Hahahaha.@mahondaw
nimeona rafiki. Si mchezoNambie rafiki...
Lol Umeona nini hahahaaanimeona rafiki. Si mchezo
!hahahaha.uumbaji na neema za allahLol Umeona nini hahahaaa!
Hahahaaa... Ungejua ni kamera tu rafiki hii simu yangu siju ikoje hatahahahaha.uumbaji na neema za allah
Huu ndio muda wa kuselfika sasa kwakua watu wapo bize na wametingwa na majukumu ya asubuhi makazini huko


nimepitwa lLol Umeona nini hahahaaa!
Hahahaaa... Ungejua ni kamera tu rafiki hii simu yangu siju ikoje hata
Sipati picha mwili wako ulivo softiiiii 🤩🤩🤩🤩! Ukimgusa tu hatari!!!