Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nakujua ktk mambo ya ukaribisho uko vizuri,
Kutulia sasa hapo itategemea huyo mwenzangu anaishi na mie kwa kutumia akili au vipi

Kuhusu kupata babee haraka humu hata sijaoga maji yeyote ila bahati tyuuh kipendhii. Afu sio humu tyuuh hata uraiani utaskia "cocastic yaan yule fulan anasema anakupenda na kukubali sana" khaaah huwa nastaajabu afu unaluta huyo mtu hata sina mazoea nae hata.

Nimeshangaa watu wanafanya utafiti juu yangu afu mwenyewe hata sijui yaan lol
Hebu niazime hicho kishep na kisura chako kizuri japo Kwa siku za wikend tu nikapata babe tuuu chapu nakurudishia.
Sura iwe ya upole kama mimi nilivyompole..ok.

Hakuna cha kutegemea hapo..naomba utulivu ndoani fulustop
 
Bind me not to the pasture
Chain me not to the plaugh
Set me free to find my calling
And I'll return to you "SOMEHOW"
IMG_20220125_173448.jpg
 
Kabisa patamu Sana Kuna pisi muhudumu pale imesoma vzr last time ilitumia fursa ilipomuona tu mh ilimpenyezea CV yake pale naona imepelekwa ofisi za madini songea.,connection
Jamaa huwa anachukua vitoto vya St Augustine.. Naomi unamjua au ushawai muona? Muulize Mary Naomi kaenda wapii utachanganyikiwaa 😊😊😊 Naomi walie soma nae moshi.. ndugu mwanzaaa safi rugumi alichanganyikiwaga pale 😂😂😂
 
Awwww
Hizo data ulikusanya wapi? Jomoneeeeh c ungenidadisi mie mwenyew mbna ningekusadia ktk zoezi lako? Ukute sasa huko kuna sehemu umekosea ktk utafiti wako lol.

Afu kumbe nawee ni mtoto wa Anangisye? Mie nilijua uko chini ya taasisi ya mstaafu mwinyi pale karibu na Jangwani girls sec, nliona unapost sana mambo ya ktk taasisi ile. Kumbe nawee upo hapa opposite na mawasiliano tower?

Hebu tukutane PM bhas jomoneeeh, huenda ukawa mwaka wanguu huu.

mahondaw suala la mavazi na sare za harusi sitaki uniangushe.
Depal wee ndo mpambe wangu,
Chakorii kamati ya mapokezi itakufaa sana.
Lizzy mwenyeji wangu kuhusu kamati ya chakula fanya namna hapa.
Jack Palladino suala la vinywaji naomba ziwe za bei nafuu,
Saint Anne cc yafaa kuwa MC?
Karma mommah kamati ya ulinzi ni yakona nakuaminia.
Heaven Sent naomba mafundisho ya imani, malezi na maisha. c unajua ndoa sio lelemama.
mawardat mlongo music tafuta babu kubwaah.
Mshana Jr babuuh nadhan ndo msimamizi mkuu.
Satoh Hirosh kamati ya tahadhari na dharura hutaniangusha.

Wewe kijana wa hovyoo jina lako ngumu, suala la ukumbi na hotel ya kufanyia honeymoon ni lako, sitaki uniangushe hapo.

Na wengineo woteeeeeeeeeh. stay tuned mambo mazuri yanakuja hapa.
Aaaalelelelelelelelelelelelele👏👏👏👏 kama kauwaaa ni kupendeza mwanzo mwishooooo! Sare kama tatu hivi jomoneeeeeeeee!! 🤩🤩
 
Great is Thy faithfulness
O God my Father,
There is no shadow of turning with Thee
Thou changest not, Thy compassions, they fail not
As Thou hast been Thou forever wilt be.

Great is Thy faithfulness!
Great is Thy faithfulness!
Morning by morning new mercies I see;
All I have needed Thy hand hath provided
Great is Thy faithfulness,Lord, unto me!
IMG_20220125_175308.jpg
 
Jamaa huwa anachukua vitoto vya St Augustine.. Naomi unamjua au ushawai muona? Muulize Mary Naomi kaenda wapii utachanganyikiwaa Naomi walie soma nae moshi.. ndugu mwanzaaa safi rugumi alichanganyikiwaga pale
Naomi namjua Ila Sina mazoea nae nitamuuliza,, aisee kwa bint ukishindwa kuchomoka na umesoma ni kujitakia tu..siku Ile nakwambia nipo na Antonia ndio huyo Dem anaitwa Sara alikua anatuhudumia Dem alikua Yuko vzr customer care ya uhakika jamaaa akamwachia tip laki mbili akampa pale pale email amtumie CV juzi juz tu Dem haamini kaambiwa akaripot job
 
Back
Top Bottom