Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
Ohooo! Unanitishaaa bodyguard 😎😎😎😎Natembea na bodyguard ati, hujaona?
Ohooo! Unanitishaaa bodyguard 😎😎😎😎Natembea na bodyguard ati, hujaona?
Eeeh!🤣🤣🤣Si unaona nasalimia mara 6 sita?
Mwambie una black beltOhooo! Unanitishaaa bodyguard 😎😎😎😎
Balaa zito sana.Umemuona lakini balaa lake
yaaani nitawazibuuuaaa hawaaa 😁😬😬😬na bodyguard wake hadi wakalazweMwambie una black belt
Hakujui huyu😀
Ulijuaje ninasifa na uzoefu katika kuwakarimu watu?hapo niko vizuri mno na Mara nyingine nikiamua kuutumia ulimi vizuri hachomoki mtu.Awwww
Hizo data ulikusanya wapi? Jomoneeeeh c ungenidadisi mie mwenyew mbna ningekusadia ktk zoezi lako? Ukute sasa huko kuna sehemu umekosea ktk utafiti wako lol.
Afu kumbe nawee ni mtoto wa Anangisye? Mie nilijua uko chini ya taasisi ya mstaafu mwinyi pale karibu na Jangwani girls sec, nliona unapost sana mambo ya ktk taasisi ile. Kumbe nawee upo hapa opposite na mawasiliano tower?
Hebu tukutane PM bhas jomoneeeh, huenda ukawa mwaka wanguu huu.
mahondaw suala la mavazi na sare za harusi sitaki uniangushe.
Depal wee ndo mpambe wangu,
Chakorii kamati ya mapokezi itakufaa sana.
Lizzy mwenyeji wangu kuhusu kamati ya chakula fanya namna hapa.
Jack Palladino suala la vinywaji naomba ziwe za bei nafuu,
Saint Anne cc yafaa kuwa MC?
Karma mommah kamati ya ulinzi ni yakona nakuaminia.
Heaven Sent naomba mafundisho ya imani, malezi na maisha. c unajua ndoa sio lelemama.
mawardat mlongo music tafuta babu kubwaah.
Mshana Jr babuuh nadhan ndo msimamizi mkuu.
Satoh Hirosh kamati ya tahadhari na dharura hutaniangusha.
Wewe kijana wa hovyoo jina lako ngumu, suala la ukumbi na hotel ya kufanyia honeymoon ni lako, sitaki uniangushe hapo.
Na wengineo woteeeeeeeeeh. stay tuned mambo mazuri yanakuja hapa.![]()
Mwandiko wako unaruka kichura churaBabe😉
Wedding ni habari ingine,, mtoto wa kingoni take it slow,,, mud utafika![]()







eeeeeh eeeeh kwa kweli sio kwa utafiti huu, hadi kujua Kabila langu, woiiiiiiiihNajua anayoMwambie una black belt
Hakujui huyu😀
Eeeeh🤣🤣🤣Mwandiko wako unaruka kichura chura
Wameanza kunihujumu😔😒yaaani nitawazibuuuaaa hawaaa 😁😬😬😬na bodyguard wake hadi wakalazwe
Basi tutaonana hapo jmos tutakua ndio tunafika mwanzaMoto motoni mkuu.. huenda ukanikuta mwanza.. jumamosi jioni naondoka kuelekea viunga vya hapo
Mwee sikuona😂
😃😃😃 jumamosi mwanza huwa inanoga sanaBasi tutaonana hapo jmos tutakua ndio tunafika mwanza
Hapana usilale.Eeeeh🤣🤣🤣
Umekuja !!
Hapa nikalale sasa🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Nitajitahidi kuwepo jumamosi moja mwanza😃😃😃 jumamosi mwanza huwa inanoga sana
Yupo kaka yangu HMHapana usilale.
Nahitaji utulivu tu
Nakujua ktk mambo ya ukaribisho uko vizuri,Ulijuaje ninasifa na uzoefu katika kuwakarimu watu?hapo niko vizuri mno na Mara nyingine nikiamua kuutumia ulimi vizuri hachomoki mtu.
Siwezi kukuangusha kabisa kipenzi..hutojuta Kwa kunipa hilo jukumu.
Uende ukatulie sasa.
Hebu nikuulizee..umeogea maji gani umepata babe haraka namna hiyo…nipatie na mimi hayo maji tafwadhali










Told yaeeeeeh eeeeh kwa kweli sio kwa utafiti huu, hadi kujua Kabila langu, woiiiiiiiih

