😄😄😄 mie napendaga sana mwamke mshali awe mkorofi mkorofi, kwasababu napenda sana kuzingua.. watu.. wapole wanatia huruma.. kama mpole bahati yakoHalafu mimi si mtata ujue
Pale nitakapoletewa miyeyusho ndipo utata utakapojionesha☺️😄😄😄 mie napendaga sana mwamke mshali awe mkorofi mkorofi, kwasababu napenda sana kuzingua.. watu.. wapole wanatia huruma.. kama mpole bahati yako
Wacha inyesheWameanza kunihujumu
Unipambanie sasa kaka yangu.
Hawakujui hawa![]()

Ukuda sasaWacha inyeshe
Tuone panapovuja![]()
Dah! kama wewe ndio mzuri kila siku ungekuwa unalia... 😄😄😄😄 alafu unabembelezwaaa.. raha sana kubembeleza watu 😃😃Pale nitakapoletewa miyeyusho ndipo utata utakapojionesha☺️
Naomba nikuhakikishie kuwa huu ni Moto wa gesi nipress button tu..hakuna wa kuuzima.
Achana kwanza na hii habari ya kaka yako.
Vipi mheshimiwa shemeji ananendeleaje?

Kwan kwa mkuu wa wilaya na huko ntahitaji sare 3??Za harusi, vipi budgets haisomi?![]()
Toa 2 ibaki moja ya kanisaniHarusi...kuanzia send off , kanisani na ukumbini
Nitafinya kwanza, kabla ya kuwazabuu wajiangalie wasivuke mstari mwekundu 😊😊Wameanza kunihujumu😔😒
Unipambanie sasa kaka yangu.
Hawakujui hawa😀
Na ninavyopendaga kubembelezwa sasa🙆🏿♀️Nakuwa kama kinyau nilichonyeshewa na mvua.ohoooDah! kama wewe ndio mzuri kila siku ungekuwa unalia... 😄😄😄😄 alafu unabembelezwaaa.. raha sana kubembeleza watu 😃😃
ThubutuuuuuNitafinya kwanza, kabla ya kuwazabuu wajiangalie wasivuke mstari mwekundu 😊😊
ayaaaaaa... dah! nimekosa bahatii yani ungefurahijeNa ninavyopendaga kubembelezwa sasa🙆🏿♀️Nakuwa kama kinyau nilichonyeshewa na mvua.ohooo
Tatizo anaonekana ni chembamba sana..anachukuliwa kama mtoto wa skongaMukubwa mwenzenu huyo
Ebu mfanyie maajabu bhana![]()
Kila siku ungekuwa unalia 😄😄😄😄...Na ninavyopendaga kubembelezwa sasa🙆🏿♀️Nakuwa kama kinyau nilichonyeshewa na mvua.ohooo
Sema thuuu nikinukisheSema thuuu nikinukishe 😁😁
reli nyembamba inabeba mabehewa.. ebu nifanyieni wepesi jamani mie mkubwa mwenzu.. 😢😢😢Tatizo anaonekana ni chembamba sana..anachukuliwa kama mtoto wa skonga
Wige nakuzumu tuMmmh
Aahaaaa..
ayaaaaaa... dah! nimekosa bahatii yani ungefurahije