Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,226
Aniache kidogo aisee.
Nilijua tu utamwita mpambe mwenzio🤣🤣🤣🤣
Aniache kidogo aisee.
Hapana; namaanisha umfuatilie kwa ukaribu zaidi[emoji188][emoji188]kwaiyo mnaamanisha namfundisha mie au [emoji849][emoji849][emoji849]
Aniache kidogo aisee.
Nilijua tu utamwita mpambe mwenzio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😃😃😃😃 Legend kama legend 😀😀😀😀😀.. sasa kama hivi acha niingizie mzigo ku validate hii mbinuHapana! Akikusogelea karibu unafanya kama unatelezesha mkono! Ukiwa unaurudisha mkono ndio kama unashika kibahati mbaya, ukiona kimya hapo ndio unazungusha zungusha mkono kiunoni na kuuacha utalii kuzunguka! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Karma akipata hiyo stoty hawezi amini kama niliwaaacha atajua niliwapelekea moto hadi wakakimbia 😀😀😀9.8ms squared njoo umsimulie kamanda yaliyokusibu juzi ukasingizia una UVIKO haha
Birthday nazikumbuka maana ni tar pia aliyozaliwa mama yangu.Depal ni kesho exactly two weeks after ya Kamtu nikapendako kuliko wote JF [emoji4][emoji4]
Usinilishe maneno😁Kaka ako akuache kidogo? Shikamoo mapenzi
Hahaaa yule siyo mwanajeshi wa jwtz mbona mwenyewe alishafafanua hilo[emoji2][emoji2][emoji2] Phd nitaipata tu.. kama nikiitaka.. Padre Henry anatisha sanaaa.. inabidi ufate nyayo zake
Mweeee [emoji28][emoji28]9.8ms squared njoo umsimulie kamanda yaliyokusibu juzi ukasingizia una UVIKO haha
Hata mie nina black belt.. najua kupigana sana tu.. 😃😃😃Hahaaa yule siyo mwanajeshi wa jwtz mbona mwenyewe alishafafanua hilo
Zile gwanda ni za South Sudan ambako alienda kuhudumu kiroho maporini huko ndipo akachukua mafunzo kadhaa ya kijeshi kwa muda mfupi
Ndiyo akapewa na zile gwanda na pia ana black belt kwenye karate hivyo anajua kupigana
🤣🤣🤣🤣🤣Hata mie nina black belt.. najua kupigana sana tu.. 😃😃😃
[emoji23][emoji23][emoji23]hadi nimecheka huku mtakatifu wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi ni wewe huyu huyu au mwingine?
😀😀😀😀 Satoh Hirosh ananijua vizuri sana.. au kesho nitatupia mnione🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi ni wewe huyu huyu au mwingine?
Acha basi🤣🤣😀😀😀😀 Satoh Hirosh ananijua vizuri sana.. au kesho nitatupia mnione
Hata mimi nacheka hapa[emoji23][emoji23][emoji23]hadi nimecheka huku mtakatifu wewe
Afu niko kwenye hili Jiji lenu la jotoHata mimi nacheka hapa