Usinifokee
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,502
- 3,522
[emoji120]
Sare 3,,, za nini[emoji44][emoji44]Aaaalelelelelelelelelelelelele[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] kama kauwaaa ni kupendeza mwanzo mwishooooo! Sare kama tatu hivi jomoneeeeeeeee!! [emoji2956][emoji2956]
Safi sana.. nguvu ya mwanamke 😊😊😊Naomi namjua Ila Sina mazoea nae nitamuuliza,, aisee kwa bint ukishindwa kuchomoka na umesoma ni kujitakia tu..siku Ile nakwambia nipo na Antonia ndio huyo Dem anaitwa Sara alikua anatuhudumia Dem alikua Yuko vzr customer care ya uhakika jamaaa akamwachia tip laki mbili akampa pale pale email amtumie CV juzi juz tu Dem haamini kaambiwa akaripot job
Udhalilishaji kabisaa huuu.. mie huyu wa kuitwaa dogoo jamanii.. jamaniii 😬😬😬😬
Basi nikajua Naomi muhudumu pale yupo ana deal Sana na cocktails,,, poa Kaka shetani asipojiinua hapa katkat jmos will be thereSafi sana.. nguvu ya mwanamke [emoji4][emoji4][emoji4]
Naomi si mzuri mzuri kajaa jaaa flani.. ana shape shape.. yeye hafanyi kazi pale ila kiwanja chake... Wengi wao pale wana degree pale.. 2019 nilikutana nao wengi sana na walikuwa moto kweli alafu wazuri sanaaa.. Kamba ndefu hiyo asee jumamosi nikiamka sijafa lazima jioni nisepe [emoji16][emoji16][emoji16]
Wacha wee bas fanya fanya watu wale pilau. [emoji23][emoji23][emoji23]Told ya[emoji41][emoji41]
Harusi...kuanzia send off , kanisani na ukumbiniSare 3,,, za nini[emoji44][emoji44]
Weuweeeeeeeeeh [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Hebu niazime hicho kishep na kisura chako kizuri japo Kwa siku za wikend tu nikapata babe tuuu chapu nakurudishia.
Sura iwe ya upole kama mimi nilivyompole..ok.
Hakuna cha kutegemea hapo..naomba utulivu ndoani fulustop
Teeeeeeenaaaaaaaah hapo kwenye mavazi nataka utishe zaidi yaan shos [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaaalelelelelelelelelelelelele[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] kama kauwaaa ni kupendeza mwanzo mwishooooo! Sare kama tatu hivi jomoneeeeeeeee!! [emoji2956][emoji2956]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya connection hayooo,Naomi namjua Ila Sina mazoea nae nitamuuliza,, aisee kwa bint ukishindwa kuchomoka na umesoma ni kujitakia tu..siku Ile nakwambia nipo na Antonia ndio huyo Dem anaitwa Sara alikua anatuhudumia Dem alikua Yuko vzr customer care ya uhakika jamaaa akamwachia tip laki mbili akampa pale pale email amtumie CV juzi juz tu Dem haamini kaambiwa akaripot job
Za harusi, vipi budgets haisomi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sare 3,,, za nini[emoji44][emoji44]
Muambie huyo shos aeleweeeeh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Harusi...kuanzia send off , kanisani na ukumbini
Fresh tuutakosa hata pa kuweka mguuu ☺️☺️☺️
cheki PM 😊😊😊😊 achana na huyo muhudumu..Basi nikajua Naomi muhudumu pale yupo ana deal Sana na cocktails,,, poa Kaka shetani asipojiinua hapa katkat jmos will be there
Acha utata basi.. ebu nyamburika mtoto wa kikeee basii 😊😊😊Fresh tu
Huyo Naomi alikuwa anaishi Dar!alikuwa na crown ya silver!Safi sana.. nguvu ya mwanamke 😊😊😊
Naomi si mzuri mzuri kajaa jaaa flani.. ana shape shape.. yeye hafanyi kazi pale ila kiwanja chake... Wengi wao pale wana degree pale.. 2019 nilikutana nao wengi sana na walikuwa moto kweli alafu wazuri sanaaa.. Kamba ndefu hiyo asee jumamosi nikiamka sijafa lazima jioni nisepe 😁😁😁
Ni udhalilishaji mkubwa mnoUdhalilishaji kabisaa huuu.. mie huyu wa kuitwaa dogoo jamanii.. jamaniii 😬😬😬😬
Halafu mimi si mtata ujueAcha utata basi.. ebu nyamburika mtoto wa kikeee basii 😊😊😊
mahondaw kanidhalilishaaaa sanaaaa.. niteteee basi kidogo 🙄🙄Ni udhalilishaji mkubwa mno