Kanakuja kanakuja
c. c Heaven SentBado mamy unajua mambo ya january..ndio nimepeleka juzi jumamosi!
Doh nitumie jamani nina kakitenge kengine kanazubaa zubaa hapa!
Mshono mzuri na kitenge pia kizuri kweli..
Mshono mzuri na kitenge pia kizuri kweli..
Mic u mlongo [emoji7][emoji7][emoji7][emoji19][emoji19]
Nigawie sec [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Allah bless you and your family[emoji1545]View attachment 2093524
Jamanii jamani!! Wamependezajeee na shape! Asante rafiki Hio ninayo sema mimi mikono ya kawaida sana... Mungu akijaalia Kesho nitaivaa nimependa hio mikono ya swagger lol![emoji2956][emoji2956]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nkikuuliza nahis km ntakukosea adabu.Niulize tu sweetheart!!
Salimia wakubwa zako hapa! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]Hakika nilienjoy pia, hali ya hewa nzuri + kimvua mvua basi usingizi mwanana. Mimi mzima habari yako pia ndugu yangu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamanii jamani!! Wamependezajeee na shape! Asante rafiki Hio ninayo sema mimi mikono ya kawaida sana... Mungu akijaalia Kesho nitaivaa nimependa hio mikono ya swagger lol![emoji2956][emoji2956]!
Inabidi ushone ya hivyoo ni 🔥🔥🔥Jamanii jamani!! Wamependezajeee na shape! Asante rafiki Hio ninayo sema mimi mikono ya kawaida sana... Mungu akijaalia Kesho nitaivaa nimependa hio mikono ya swagger lol![emoji2956][emoji2956]!
Cc kipenzii [emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu usiniambie kuhusu BMW ujue, napata goosebumps like this[emoji23][emoji23]
View attachment 2094241
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590]Mwandiko wetu [emoji871]
View attachment 2094318