Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nkikuuliza nahis km ntakukosea adabu.
Niruhusu tena ili niwe na aman, [emoji7][emoji7][emoji7]
Uliza... usiwaze !! Kwani ni swali la kizushi au?? Anyways nyani mzee mimi uliza tu..uliza saivi!
 
Umeshawahi date na mjeda? Au ushawahi sikia habari zao kunako 6 kwa 6, nipe kwani elimu hapa shos,kabla sijafanya maamuzi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekujibu kule kipenzi kaangalie... Japo nahisi usingizi balaa..! Wee najua unapenda mikiki mikiki hao watu nasikia wapo vizuri stamina ipooo! Si unajua pilikapilika zao dia !
 
Back
Top Bottom