Wewe uliniambiajeMimi au?!![]()
,Nadhani ulifika Kisaki Station.Nakumbuka hiyo barabara niliwahi kuendesha nikaishia mbele kule kama unakwenda Selous, ilikuwa vumbi tu! Vipi sahv iko vizuri?![]()
Her name is SIT holeThis story was proven to be fake and the woman was found to be mentally unstable...
View attachment 2093508View attachment 2093509
Chief kweli kabisa nilifika Kisaki, yaani ile barabara acha kabisa, then watu wanasema Kitonga hatari, unazionaje zile kona za Mvuha??Nadhani ulifika Kisaki Station.
Hiyo barabara bado vumbi ingawa tayari ipo kwenye bajeti ya ujenzi kwa kiwango cha lami.
Usitishike mtu wetu.Hiyo flight ya Mogadishu vipi tena?😐
Anyway, nasubiria kuona destination 🤗
Njoo unifuate huku si unajua ni mbali,nitapoteaTwende tukatembee!!![]()
Kwani nani alikwambia utoke ndani, we una matatizo!!Njoo unifuate huku si unajua ni mbali,nitapotea
Mjukuu utakwenda kuumizwa. Huyo Ostaadh siyo mtu mzuri!Njoo unifuate huku si unajua ni mbali,nitapotea
Mwache mjukuu wangu pulizi. Mkatembee wapi? Unachokitafuta utakipataTwende tukatembee!!![]()



No sir. Her name is Sithole (a common name in South Africa). Let's not dehumanize her simply because she had mental issues.Her name is SIT hole
Umefunga Kilinge umegeukia Neno non stop. Muda si muda utakuwa na kituo cha Neno wewe na au maarifa ya utambuzi kama kile cha Marehemu Munga Tehenan. Ukikifungua tu tuambizane.