Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20220124_164345.jpg
 
[emoji3526][emoji3526] kesho mapemaaaa tu, wateja wapo wa kumwaga.. ukipata hela zako utafanyia nini kwanza [emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji4][emoji4]nashindwa kupanga bajeti kwa vile sijui bei. Ila nikuulize wewe labda kwa mfano tukaambiwa figo moja milioni ishirini kila mtu akatoa moja jumla tukapokea mil.arobaini wewe utafanyia nini milioni mbili yako[emoji16][emoji16][emoji16]
 
🙄🙄🙄🙄🙄🙄 Hiiiii hela ingine inaenda wapi kwani lol
 
Back
Top Bottom