Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,105
- 35,136
Nyoka alitupokonya tunu yetu, alaaniwe daima!
Nyoka alitupokonya tunu yetu, alaaniwe daima!
Yenu na nani?🙄🙄Yani anaipenda sana kapo yetu anawish tuwe pamoja
Pombe nimepunguza nakunywa only friday!
Sema basi😂😂😂Kilumumba![]()
![]()
Hakuna kisicho chosha aiseee! Hata iweje kuchoka kupo pale paleWeeehhhhh!! Kwenye hii baridi huo muda wa kuanza kuchange location upo sasa??? Kwanza hamtamani hata kuamka hapo ni kuchikuchi hotahae humohumo!
Nitapunguza masaa tuYenu na nani?
Na hiyo ijumaa ipunguzwe
Unaweza ukatumia saa 1 kufukia bia za kutoshaNitapunguza masaa tu
😍😍😍😘😘😘🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰😍😍😍😍🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍😘😘😘😘😘😘😘😘🥰😘🥰😘🥰😘🥰😘🥰😘🥰😘🥰😘🥰😘🥰😘🥰😘😘🥰😘🥰😘🥰😘🥰😘🥰😘🥰😘🥰😘🥰🥰😘🥰😘🥰😘🥰😘🥰😘🥰😘🥰😘🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍🥰🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍🥰🥰😘🥰😘🥰😘🥰😘🥰😘🥰😘🥰Ewaa😍😍
Its friday...leo nipo hapa full time!Abee shem darling wangu
We nae ni Mzee wa kazi nyingi sn ndy maana Una hela sn😅..mara Forex mara java script mara..Na ku recomend Stefano Mtangoo kwenye project yako ile, alikuwa mwalimu wangu wa java, php kitu kama sikosei C++ pamoja na API.. sema ndio niliachana na hayo nikawa tapeli tuu wa mjinj. but on serious work mpe jamaa ana hofu ya Mungu, ana mpenda Mungu na ni muaminifu.. utafurahi kufanya nae project
Boss bora vant kuliko Nyagi![]()
Ni mtu safi sana, nimepita mikononi mwake. Usichelewe atakusaidia kufika unapotaka, namfahamu. Mie mkuu sio tu huko hata Cyber security, IS, Networking, Electrical Power, Mechacala ( power plant), Forex, finance analyst etc nimo.. Dereva wa magari nimo pia nina cheti cha VIP udereva from NIT.. huduma zote kwangu zinapatikana mkuu 😁😁😁We nae ni Mzee wa kazi nyingi sn ndy maana Una hela sn😅..mara Forex mara java script mara..
Huyo jamaa Mr Stefano Mtangoo anaonekana ni mtu poa hata Kwa mwandiko wake Tu.Kuna muda mtu unakuta mtu anamtroll lkn yeye anarelax na kujibu vizuri sn.Pia maelezo yake ndy yamenipa mwanga zaidi..Nitamtafuta
Mkuu huku huwezi kuondoka bila kuacha selfie😅Nimeshangaa naitwa kwenye uzi ambao hata siuelewei. Imebidi kusoma kama mara tatu hivi kuelewa kinachoendelea.
Nashukuru sana boss kwa recommendation. Nashindwa kukumbuka ni mwanafunzi yupi maana nimefundisha wengi kweli kweli.
Rudi kwenye code aisee! Hata kwa hobby 🙂
ChibongeKaribuni tuka msend-off mwenzetu!View attachment 2090837
Toa locationKaribuni tuka msend-off mwenzetu!View attachment 2090837
Awapi..wakiita vibonge namie natoka!!?.??Chibonge