Raha kuishi nao mbalii.. na hakuna mazoea mazoe ya ajabu kwenye famili mpyaaa 😁😁😁😃😃😃.. mnakuwa wakali kama pilipili kichaaa.. ndio mtafurahia maisha.. mawifi wengine nomaaa tupuWenyewe wakisikia unalalamika mumeo ni kama Nabali, ndiyo wanapata ahueni. Angalau na kwako kunawaka moto kama kwao
Wameshikwa wakashikika!! Safi sanaleo dar tu mwawingu, manyunyu ya hapa na paleee.. wengi wameshikwa na baridiiii
wanagunaa tu sahiii 😊😊😊Wameshikwa wakashikika!! Safi sana
Mbona wameanza mapema sana sasa hadi kukuche wataamka kweli!!wanagunaa tu sahiii![]()
😊😊😊 hayachoshagi kama location zinakuwa changed, chakula safi, ka movie flani hivii.. mkazikii flani hivi utani mwanzo mwishoo.. yaaani ni 🔥🔥🔥🔥Mbona wameanza mapema sana sasa hadi kukuche wataamka kweli!!
Raha kuishi nao mbalii.. na hakuna mazoea mazoe ya ajabu kwenye famili mpyaaa.. mnakuwa wakali kama pilipili kichaaa.. ndio mtafurahia maisha.. mawifi wengine nomaaa tupu
Mume akiwa na msimamo aaah mbona raha


hayachoshagi kama location zinakuwa changed, chakula safi, ka movie flani hivii.. mkazikii flani hivi utani mwanzo mwishoo.. yaaani ni
![]()
Weeehhhhh!! Kwenye hii baridi huo muda wa kuanza kuchange location upo sasa??? Kwanza hamtamani hata kuamka hapo ni kuchikuchi hotahae humohumo!hayachoshagi kama location zinakuwa changed, chakula safi, ka movie flani hivii.. mkazikii flani hivi utani mwanzo mwishoo.. yaaani ni
![]()
Unaolewaje na mtu ambae hana msimamo asee..
mtu wa kubadirika mbeleni hiyo ni tatizoo unafugaWengine ndiyo wana ile "atabadilika mbeleni"
Tangu majuzi naona kijana kavurugwa si mchezo!!Majini hayo?![]()
Location za ndani.. sebuleni, chumbani, jikoni, bafuni.. 😜😜😜Weeehhhhh!! Kwenye hii baridi huo muda wa kuanza kuchange location upo sasa??? Kwanza hamtamani hata kuamka hapo ni kuchikuchi hotahae humohumo!
Ahaaa hapo sawa! Nakukumbusha still January !Location za ndani.. sebuleni, chumbani, jikoni, bafuni..![]()