Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Sawa sawa kakakadogo kangu ka mwisho.. mkazoee kanadaekaa hako![]()
Sawa sawa kakakadogo kangu ka mwisho.. mkazoee kanadaekaa hako![]()
Nimeomba mala moja tu 😂😂😂😂..Ahaaa hapo sawa! Nakukumbusha still January !
mtu wa kubadirika mbeleni hiyo ni tatizoo unafuga
rafiki we hujashikwa ukashikika?Wameshikwa wakashikika!! Safi sana
Still binadamu tunaweza kubadilika with time; mwema leo kesho anageuka
Ewaa😍😍Ooh! Ni wa benjamini dune
View attachment 2090676
Ndio maana umeifurahi sana ilivyofika ijumaa😆
Its furahi day...how are u my ex?Ndio maana umeifurahi sana ilivyofika ijumaa![]()
Ili ulewe!Its furahi day...how are u my ex?
Kilumumba tunaiitaje?😀Hii rangi tunaiita pisi imependeza
Siku ya kulewa tu...Ili ulewe!
Sawa chapombeSiku ya kulewa tu...
Ahaaa niitie shem darling wangu ChakoriiSawa chapombe
Yuko busy anachochea kapo yetu huku.Ahaaa niitie shem darling wangu Chakorii
Hii kama mdudu vile

KilumumbaKilumumba tunaiitaje?
Mboga zilizokolea au kijani kikavu?


Boss bora vant kuliko Nyagi

Yani anaipenda sana kapo yetu anawish tuwe pamojaYuko busy anachochea kapo yetu huku.
Tuongee kwanza hapa chapombe,,tulikubaliana unapunguza kunywa mwaka huu.

Nyagi safi sema wanachakuchua sanaBoss bora vant kuliko Nyagi![]()