Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,576
Haupo kwenye kundi la 198....wewe wa late 199... au early 200...Malizia 80 na ngapi?
Haupo kwenye kundi la 198....wewe wa late 199... au early 200...Malizia 80 na ngapi?
Nipo kwenye 70 naa kwa taarifa yakoHaupo kwenye kundi la 198....wewe wa late 199... au early 200...
Mtu yeyote akiniandikia hivyo simcheleweshi, namtukana HapohapoSi bora hata huyo unaweza kuelewa anamaanisha nini? Kuna mwingine neno sababu anaandika 7bu....kuelewa sasa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa ananichekesha sana...hasa ukimkuta anapambania ule uzi wao usifutwe.




Hafai huyu..Eti unafanya nini nowUle uandishi wao...hata siwaelewi hakyanani!
Labda ni huu uzee sielewi, umekula, "unafanyaje now"aaaagr shida tupu!!




Aminaaaaaaa!Sio 26, chini ya 28 sitaki kabisa...kwanza ni 30 and above kabisa! Watu wa age hizi wana kitu unique wewe huwezi elewa.
Duuuh usingekuwa vile ulivyoNipo kwenye 70 naa kwa taarifa yako
Pamoja nawe mtani tumeuwonaa




Vipi?Duuuh usingekuwa vile ulivyo
Picha zinaonesha au sio??!!Duuuh usingekuwa vile ulivyo
Naongea ukweli mtupu shem!!
Mimi huwa ananichekesha sana...hasa ukimkuta anapambania ule uzi wao usifutwe.



ule Uzi una madini sio poa!7bu..dah! wa2...ukisoma kichwa kinaumaSi bora hata huyo unaweza kuelewa anamaanisha nini? Kuna mwingine neno sababu anaandika 7bu....kuelewa sasa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesema ya moyoni tu mkuu!Nakushangaa tu mie .
..halafu wana kingine, anyway ngoja kwanza....


wasije kunisema bure!!..halafu wana kingine, anyway ngoja kwanza....wasije kunisema bure!!


kipi hicho?Shem tuwaache kwanza, wataanza kutushushia za uso, hujui wanajipangaje huko...