Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Huko Sinai ni kutakatifu mno..Ni kwa Musa kupokelea zile amri za Muumba.Eeh aje kwa chalii ya Mlima Sinai
Hukuhuku Galatia ndio bomba.
Huko Sinai ni kutakatifu mno..Ni kwa Musa kupokelea zile amri za Muumba.Eeh aje kwa chalii ya Mlima Sinai
Mimi ,wewe na Chakorii🤗Yetu na nani?
☺️☺️☺️ haya ndio maneno sasaaa.. asitupunguzie speed kwenye mahaba yetu.. nimebahatika bado anataka kunichania mkekaAnaleta wivu kwa braza😅 aje kwangu nimpe muongozo mle pilau mwezi wa 6! Nina stock ya kutosha
Wifi gani ananikosesha haki zangu kwa kaka😔Msipopambana; ndoa itawashinda kisa gubu la dada wa mume
Wifi gani ananikosesha haki zangu kwa kaka![]()
Mungu ni mwaminifuI hope so my dear
Thank u so much madam lizzyHappiest birthday to you 🥳
Haha.. jana sijatupia rafiki utakua umepitwa na za wengine rafiki!rafiki nimepitwa na nn?
Hahahaha kila mtu ajipimie bana msishikane mikono☺️☺️☺️ haya ndio maneno sasaaa.. asitupunguzie speed kwenye mahaba yetu.. nimebahatika bado anataka kunichania mkeka
Haki zangu kutoka kwa kaka zipo palepale😒Tafuta mume wako, ukapate haki zako huko
Hahahaha ndio panapopatikana muongozo huko Galilaya nendeni na wajuba kina Job Ndugai😅Huko Sinai ni kutakatifu mno..Ni kwa Musa kupokelea zile amri za Muumba.
Hukuhuku Galatia ndio bomba.
sasa hv mnafaidi wote?Kipindi hicho nikitizama videos kama hiz nilikua naona wakubwa wanafaidi 😄😄😄😄
🙃🙃💃💃💃💃Kwa mzigo uliobeba, ukisema umechoka nakubali! Hebu irudie tena ile ya juzi![]()
Ewaaaa... irudiwe rudiweee hiii 😊😊Tafuta mume wako, ukapate haki zako huko
Nini??Ewaaaa... irudiwe rudiweee hiii![]()
Galilaya na viunga vyake vyote,,Hahahaha ndio panapopatikana muongozo huko Galilaya nendeni na wajuba kina Job Ndugai![]()
Irudiwe rudiwe msisitizo 😊😊Nini??
KwendaaIrudiwe rudiwe msisitizo![]()