Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

CY2gPX_lZ0w~1.jpg
 
Happy birthday to u Satoh Hirosh

Jah akulinde na kukutunza ktk misingi ya kumpendeza yeye, akuzidishie na kukuongezea vile vyote uombavyo, utakavyo, na upangavyo.

Aendeleze hekima na busara juu yako, upole na ucheshi wako, mikono na akili yako ikasaidie wengine kwa namna 1 ama nyingine. Uwepo wako iwe ni furaha kwa watu wote wakuzungukao.
Uishi miaka mingi na zaidi, uone na kufurahia ukuu na uweza wake yeye Jah.

Siku njema kwako na baraka tele ziwe juu yako.
Asante sn my dear cocastic ..Maneno yako ya hekima yakawe kioo kwangu .MUNGU atulinde,atuongoze,na kutubariki sote
 
Happy birthday to me Satoh Hirosh

Baada ya bi mkubwa kunipa hii picha Jana,nikajifunza kuna umuhimu mkubwa sn Kwa a kuwa na archives Kwa ajili ya kumbukumbu za watoto wetu,Jana nilifurahi sn baada ya kuiona hii picha.. Imagine Leo Nina familia alafu naiona picha enzi nikiwa na miezi 5 Tu miaka hiyo late 80s

View attachment 2087630
safi kabisa. Maisha mema nakutaki yenye miaka yenye baraka na utajiri kamandaa Satoh Hirosh
 
Satoh bana, si useme tu ni mwaka 1989, eti late 80s. Kumbe bado kadogo
Happy birthday to me Satoh Hirosh

Baada ya bi mkubwa kunipa hii picha Jana,nikajifunza kuna umuhimu mkubwa sn Kwa a kuwa na archives Kwa ajili ya kumbukumbu za watoto wetu,Jana nilifurahi sn baada ya kuiona hii picha.. Imagine Leo Nina familia alafu naiona picha enzi nikiwa na miezi 5 Tu miaka hiyo late 80s

View attachment 2087630
 
Happy birthday to me Satoh Hirosh

Baada ya bi mkubwa kunipa hii picha Jana,nikajifunza kuna umuhimu mkubwa sn Kwa a kuwa na archives Kwa ajili ya kumbukumbu za watoto wetu,Jana nilifurahi sn baada ya kuiona hii picha.. Imagine Leo Nina familia alafu naiona picha enzi nikiwa na miezi 5 Tu miaka hiyo late 80s

View attachment 2087630
Happy birthday to you mkuu Satoh Hirosh
 
Happy birthday to me Satoh Hirosh

Baada ya bi mkubwa kunipa hii picha Jana,nikajifunza kuna umuhimu mkubwa sn Kwa a kuwa na archives Kwa ajili ya kumbukumbu za watoto wetu,Jana nilifurahi sn baada ya kuiona hii picha.. Imagine Leo Nina familia alafu naiona picha enzi nikiwa na miezi 5 Tu miaka hiyo late 80s

View attachment 2087630
Samahani mkuu,umezaliwa miaka ya 80 au 90?
 
Back
Top Bottom