ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,502
- 126,826
Bure hazinogi! Sisi wazee-vijana hatupendi ishu za bure!Tukikupa bure hapa utakataa?
Bure hazinogi! Sisi wazee-vijana hatupendi ishu za bure!Tukikupa bure hapa utakataa?
[emoji126][emoji126][emoji126]DJ walete wadada wenye 30'sUmeona mkuu, hawa watu wana nafasi ya pekee kwenye moyo wangu.
Wa kwangu nilimpiga marufuku kuandika vifupi mfano "kwmb" badala ya "kwamba" au 'x' badala ya 's' na akaelewa. Wana ujinga mwingi.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Faller wewe...
Hiyo Baby umekula, it's lunch time kwenye mapenzi ni mambo ya msingi Babu..Ni huo umri unakufanya uone kero? Binafsi mimi napenda.. ni sehemu ya kujali pia..
Yote tisa... unaweza kujikuta kila saa unapigiwa video call[emoji28]Na wana ule uandishi wao wa text sasa, Na huo umri ki ukweli hutaweza
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi leo umekuwaje lakini?Bure hazinogi! Sisi wazee-vijana hatupendi ishu za bure!
Wewe sio wa 198...Kamba gani?
Ha ha ha! Hatari sana...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bure hazinogi! Sisi wazee-vijana hatupendi ishu za bure!
Sema kama ni uongo madam mahondaw!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Nimecheka Sana.
Mbona hivyo tena Tinsley?
Malizia 80 na ngapi?Wewe sio wa 198...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi leo umekuwaje lakini?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ikifika jioni kwa ruhusa ya my new baby nitapost[emoji23]
Ule uandishi wao...hata siwaelewi hakyanani![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Faller wewe...
Hiyo Baby umekula, it's lunch time kwenye mapenzi ni mambo ya msingi Babu..Ni huo umri unakufanya uone kero? Binafsi mimi napenda.. ni sehemu ya kujali pia..
Yote tisa... unaweza kujikuta kila saa unapigiwa video call[emoji28]Na wana ule uandishi wao wa text sasa, Na huo umri ki ukweli hutaweza
Sent using Jamii Forums mobile app
Si bora hata huyo unaweza kuelewa anamaanisha nini? Kuna mwingine neno sababu anaandika 7bu....kuelewa sasa...Wa kwangu nilimpiga marufuku kuandika vifupi mfano "kwmb" badala ya "kwamba" au 'x' badala ya 's' na akaelewa. Wana ujinga mwingi.
Kwahiyo wale andaeitini hawana chao[emoji134]Umeona mkuu, hawa watu wana nafasi ya pekee kwenye moyo wangu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ule uandishi wao...hata siwaelewi hakyanani!
Labda ni huu uzee sielewi, umekula, "unafanyaje now"[emoji23][emoji23][emoji23] aaaagr shida tupu!!
Nakushangaa tu mie .Mbona hivyo tena Tinsley?