Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dadeki nimeiona kaka Anne.

Basi ukiona hivi, unatamaniaa hadi unajihisi wewe na baby ako mtapendeza hivihivi. Mjikute sasa wote mlichaguana kila kitu ni "personal" teh
☺️☺️☺️ inawezekana kabisaa mama pastor na sio gharama, inahitaji tu chemistry.. leo acha nikaibe mtoto wa. mtu Chakorii tutoke kama hao.. tunaanza shoping pale woolworths.. tunatako hapo shwaaa haooo
 
Sitakiiiiiii
forgive-please.gif
 
[emoji3526][emoji3526][emoji3526] inawezekana kabisaa mama pastor na sio gharama, inahitaji tu chemistry.. leo acha nikaibe mtoto wa. mtu Chakorii tutoke kama hao.. tunaanza shoping pale woolworths.. tunatako hapo shwaaa haooo
Ewaaaaaa, msisahau kuselfika. Na sisi ndiyo tunamalizia kujiandaa tutoke na Baba Mchungaji; picha inakuja
 
Happy birthday to me Satoh Hirosh

Baada ya bi mkubwa kunipa hii picha Jana,nikajifunza kuna umuhimu mkubwa sn Kwa a kuwa na archives Kwa ajili ya kumbukumbu za watoto wetu,Jana nilifurahi sn baada ya kuiona hii picha.. Imagine Leo Nina familia alafu naiona picha enzi nikiwa na miezi 5 Tu miaka hiyo late 80s

View attachment 2087630
Happy birthday kwako kijana mpole kuliko mimi, Mungu akupe umri na akutimizie kila hitaji la moyo wako [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom