Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Happy birthday to u Satoh Hirosh

Jah akulinde na kukutunza ktk misingi ya kumpendeza yeye, akuzidishie na kukuongezea vile vyote uombavyo, utakavyo, na upangavyo.

Aendeleze hekima na busara juu yako, upole na ucheshi wako, mikono na akili yako ikasaidie wengine kwa namna 1 ama nyingine. Uwepo wako iwe ni furaha kwa watu wote wakuzungukao.
Uishi miaka mingi na zaidi, uone na kufurahia ukuu na uweza wake yeye Jah.

Siku njema kwako na baraka tele ziwe juu yako.
 
Back
Top Bottom