Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Ohoooo yeuyeeee..in a very serious way 9.8ms squared hii video clip imeutingisha ubongo wangu kinouma..
Ohoooo yeuyeeee..in a very serious way 9.8ms squared hii video clip imeutingisha ubongo wangu kinouma..
sawaaaaaaaaaaah .Weka avatar ya kijana, hiyo inaogopesha afu unaonekan km mtu mkubwa, kumbe yankiiii, utapishana na zali la mentari oooooh we haya![]()
Hii kapo inaonesha wanapendana mno..Mungu awatunze kwakweli
Asante Mkuu, ila nilifika nyumbani kwenu nimeambiwa una muda mrefu haujarudi 🙈Karibu tena mkuu![]()
Sawa shem darling...Great....
Usiwe unapotea sana shem.saw

Usinipe Gunia la misumari tu 😃awwwwww ❤️❤️❤️❤️❤️.. raha jamani nakupa dunia yote na vilivyomoo
Hapo kwenye kuwafunga Yanga mnanifurahisha. Ili kufanikisha ushindi wenu Kwa Yanga naomba niwasapoti Kwa kujitolea Chakula Cha siku Moja Kwa Wachezaji na Benchi la ufundi.
Najua Msosi Kwa Wachezaji 25+Benchi la ufundi 12 =37
Chakula Kwa Mamantilie ni Buku Jero
37x1,500=55,500/-
Yanga vizuri naye afungwe kama Sisi ili kubalance equilibrium![]()


Nimeyaona sehemu yananukia🙄🙄🙄maji moto yatoka wapi tena jamaniii
Mkewe mtarajiwa😎😎Baby ake pep
WanasemaUmewalisha wenzio matango pori ujue!!


Umeamua kunipeleka india nikale dengu na pilipili sasa
Gunia la misumari hapanaaaa 😀😀😀Usinipe Gunia la misumari tu 😃
Naona unachochea moto😃😃safi👊🏿Nitakuletea uji
Pale
Burn Unit![]()
Fanya chapNakuwekea bodyguard
OhooBaby ake pep
