Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Hivi Mr Paul yuko wapi siku hizi?
Hivi Mr Paul yuko wapi siku hizi?
Mimi huwa nafunga na kusali huyo shetani asije kunipitia..huo msala sitauweza😁Mara paap najichanganya kupost sura langu la kinyaki khaa
Huyo dada anahitaji kupigwa pigwa msasa wa darasa.
Yupo Australia anaishi huko na mke wake mzungu 😊😊Hivi Mr Paul yuko wapi siku hizi?
🤣🤣🤣🤣💃💃hebu urudie
Basi nitamtuma soon akuletee, ila risiti yangu nitunzie [emoji87][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Huyo dada anahitaji kupigwa pigwa msasa wa darasa.
Siwezi pokea zawadi nimekaza kiuno namna hiyo...lazima nibend kidogo mtoto wa kike[emoji3059]
Hapo kwenye kuwafunga Yanga mnanifurahisha. Ili kufanikisha ushindi wenu Kwa Yanga naomba niwasapoti Kwa kujitolea Chakula Cha siku Moja Kwa Wachezaji na Benchi la ufundi.Na bado, tunawangoja Yanga tuwashone
😂😂😂😂!Hii imenipita. Halafu ina mpasuo dah! [emoji51]
Ahsanteeee
Umewalisha wenzio matango pori ujue!!Mpasuo ule[emoji39]
Vidole fulani hivi[emoji3]
Amazing[emoji1787]
Karibu tena mkuu [emoji4][emoji4]View attachment 2086796
Kyala Mnunu
Ndaga
Ughonile mala fyale
Nikija mara mbili, Tatu huku lazima nikamilishe uandishi wa Kamusi ya Kinyaki [emoji123][emoji123][emoji123]
CC
Heaven Sent
Karma
Saint Anne
Bujibuji Simba Nyanaume
mkuu sitaki kumwagiwa maji ya moto😍😍😍 acha nibebike mie...
🙄🙄🙄maji moto yatoka wapi tena jamaniiimkuu sitaki kumwagiwa maji ya moto